Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

Wanawake mna roho ngumu sana aisee.. Interesting

Kwa hiyo kumuacha mpaka msaada wa watu wa marekani? Duh
 
Utamwacha halafu utakutana naye mwingine naye anataka,au uanze kumlazimisha akuingilie...komaa na huyo huyo ,kama umeshafanya sana hadi na michepuko na umezoea unashindwa nini kuendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza wewe mwenyewe mchepukaji,hujatulia,pili umeshazoea ata ukichepuka unamlazmisha muasharati mwenzio akufanye kinyume na maumbile!

Ushauri wangu,chagua moja kati ya haya..

1.Ukae mbali na ngono,walau six months,huku ukifanya tiba ya kisaikolojia,na kumrudia Mungu.

2.Ukishindwa option ya 2,Endelea nae tu kwan hakuna akayekukubali kwa situation hiyo,labda awe kama uliye nae tofauti yake tu kukupiga,kwan ndege wafananao huruka pamoja.

3.Ukiachana nae,una hakika utampata mwenye tabia tofauti na yako?mtadumu?huu si ushaur,bali ujitafakari kwanza mwenyewe kama kweli uko tayar kumuacha,maana inaonekana still unampenda na hata ukimuacha utarudii tu.
 
Ulitakiwa uachane naye Ile siku aliyokuomba akuingilie kinyume.....

Sasa mkiachana unataka ukawe na Nani? Yaani mkaka wa watu ajitunze, hajui na hajawahi Kula kisamvu ndo unataka ukaanze nae mahusiano halafu umfundishe tabia mbaya🤣🤣🤣 Inauma.

Waliosema mabinti tujitunze hawakuwa wajinga kumbe.
Acha kumkatisha mwenzio tamaa mbona mzabzab yupo tayari kumpokea na kuwa nae kama mke
 
Asome Zaburi ya 51 kwa kumaanisha, na Kisha aombe tu kwa kusema Yesu naomba Toba na Rehema kwa kuwa nilikuwa nafanya anataja ... naomba unirehemu maana neno lako linasema katika 1wakorintho 6:9 kuwa wafiraji hawataurithi ufalme wa Mungu naomba Leo unirehemu Mimi na kizazi changu utuondolee uovu huu, ututakase kwa damu yako...

Aombe mpaka apate amani moyoni...

Kwa muendelezo Kila siku
Anatakiwa aseme hivyo mara ngapi kwa siku na kwa dakika ngapi?

Vipi usiku aamke saa ngapi aombe hivyo hivyo,??
 
Kiutaratibu mwanamme anatakiwa akuzidi umri, nashangaa unavyosema hukujali hilo.
Utaratibu wa wapi huo ambao mwanaume anatakiwa amzidi umri mwanamke? Wengine wanafana Sunna za mtume Mohamed za kuoa wazee kama bi hadija ...so utaratibu wenu wa vijijini msilete au kuufanya sheria
 
Utaratibu wa wapi huo ambao mwanaume anatakiwa amzidi umri mwanamke? Wengine wanafana Sunna za mtume Mohamed za kuoa wazee kama bi hadija ...so utaratibu wenu wa vijijini msilete au kuufanya sheria
Nadhani hii imekaa kwa kile mtu mwenyew atachokipenda kiwe binafsi sipendi mwanamke anizidi umri maana mkikosana tu anachukulia advantaje ya kukuadhibu kuchukua nafasi yako 🤣
 
Kamshitaki mahakamani utashinda mapema sana. Shahidi wa kwanza utakuwa ni wewe na wapili atakuwa ni daktari.

Hapo hakimu akija kushusha hukumu ni KIFUNGO CHA MAISHA JELA. Atakupatia wapi tena.
Labda wafungwe wote maana walikubaliana, kumbuka sheria inasema mtoaji na mlaji wote lao moja
 
Back
Top Bottom