kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Nimelia saana
[emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimelia saana
Acha kumkatisha mwenzio tamaa mbona mzabzab yupo tayari kumpokea na kuwa nae kama mkeUlitakiwa uachane naye Ile siku aliyokuomba akuingilie kinyume.....
Sasa mkiachana unataka ukawe na Nani? Yaani mkaka wa watu ajitunze, hajui na hajawahi Kula kisamvu ndo unataka ukaanze nae mahusiano halafu umfundishe tabia mbaya🤣🤣🤣 Inauma.
Waliosema mabinti tujitunze hawakuwa wajinga kumbe.
Anatakiwa aseme hivyo mara ngapi kwa siku na kwa dakika ngapi?Asome Zaburi ya 51 kwa kumaanisha, na Kisha aombe tu kwa kusema Yesu naomba Toba na Rehema kwa kuwa nilikuwa nafanya anataja ... naomba unirehemu maana neno lako linasema katika 1wakorintho 6:9 kuwa wafiraji hawataurithi ufalme wa Mungu naomba Leo unirehemu Mimi na kizazi changu utuondolee uovu huu, ututakase kwa damu yako...
Aombe mpaka apate amani moyoni...
Kwa muendelezo Kila siku
Utaratibu wa wapi huo ambao mwanaume anatakiwa amzidi umri mwanamke? Wengine wanafana Sunna za mtume Mohamed za kuoa wazee kama bi hadija ...so utaratibu wenu wa vijijini msilete au kuufanya sheriaKiutaratibu mwanamme anatakiwa akuzidi umri, nashangaa unavyosema hukujali hilo.
Nadhani hii imekaa kwa kile mtu mwenyew atachokipenda kiwe binafsi sipendi mwanamke anizidi umri maana mkikosana tu anachukulia advantaje ya kukuadhibu kuchukua nafasi yako 🤣Utaratibu wa wapi huo ambao mwanaume anatakiwa amzidi umri mwanamke? Wengine wanafana Sunna za mtume Mohamed za kuoa wazee kama bi hadija ...so utaratibu wenu wa vijijini msilete au kuufanya sheria
Labda wafungwe wote maana walikubaliana, kumbuka sheria inasema mtoaji na mlaji wote lao mojaKamshitaki mahakamani utashinda mapema sana. Shahidi wa kwanza utakuwa ni wewe na wapili atakuwa ni daktari.
Hapo hakimu akija kushusha hukumu ni KIFUNGO CHA MAISHA JELA. Atakupatia wapi tena.