Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

Pole sana seems ushakua addicted nahio kitu!

Mungu akusaidie
 
At 66 years bado unahangaika na mapenzi! Bora ungetulia uzeeke vizuri tu mamangu!
 
Ulitakiwa uachane naye Ile siku aliyokuomba akuingilie kinyume.....

Sasa mkiachana unataka ukawe na Nani? Yaani mkaka wa watu ajitunze, hajui na hajawahi Kula kisamvu ndo unataka ukaanze nae mahusiano halafu umfundishe tabia mbaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Inauma.

Waliosema mabinti tujitunze hawakuwa wajinga kumbe.
Upe vidonge vyake
 
Pole sana...

Mshitaki huyo kuwa anakulazikisha kufanya na anakutisha kuonyesha picha zako za utupu..

Omba Toba na Rehema kwa Mungu kwa ajili yako na kizazi chako...
Mshamuona Mungu kama babu yenu sio!!?
 
Basi mimi humu duniani sinaga dhambi...
Na nitaenda mbiguni...

Binadamu tumefikia huku
 
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.

Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia. Japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.

Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.

Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.

Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.

Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu. Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu.

Shida inakuja hivi, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana. Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha, atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.

Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo (hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo).

Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume? Kwanza nitamshtaki kwa nani?

Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.
jinsia yako kwanza >?maana mji ushachafuka huu
 
Then ukaolewe na nani wakati umeshaharibiwa matako hayo?. Kama bado uko nae ni dhahiri shahir unafurahoa huo uchafu🚮
 
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.

Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia. Japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.

Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.

Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.

Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.

Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu. Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu.

Shida inakuja hivi, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana. Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha, atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.

Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo (hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo).

Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume? Kwanza nitamshtaki kwa nani?

Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.
LGBTQI mko kazini kutangaza kazi zenu kwa vistori vya kuunga unga na kutunga.

Mkuu wewe ndio Katibu Mwenezi wa hicho chama?
 
Nakuhurumia ila....

1. Hili limekaa kama tangazo hivi........
2. Kama ni kweli basi ni kama unampenda jamaa hivi....
Ni lgbtqi hawa wanaeneza hizi hisai ili baada ya muda hali hizi za ufirauni zionekane ni jambo la kawaida.

Ona alivyotunga kwa umahiri lakini bado stori inakosa uhalisia
 
Kwahyo sikuhizi ndo mmeamua kutatuliwa marinda tu ovyo ovyo, Sawa bwana we endelea, kinyago ulichokichonga kamwe hakiwezi kukutisha,Usituchoshe.
 
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.

Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia. Japo ni tatizo la aibu au la fedheha...
Kwani humu mmekuaje Wiki hii mbn kunanuka shombo ya mavimavi tu humu uyu nae tn
 
Back
Top Bottom