Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
🤣🤣hiyo ungemchutamia tu kama watumishi tulivyo notice tuka mute.Umesema unataka UPAMBANE NAE KIUMEEE?
AU MACHO YANGU HAYAONI
Muhimu asaidiwe ni mbaya, chafu na inauma sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣hiyo ungemchutamia tu kama watumishi tulivyo notice tuka mute.Umesema unataka UPAMBANE NAE KIUMEEE?
AU MACHO YANGU HAYAONI
Marketing skills yako ipo juu sana, hongera. Ni dm namba yako napenda sana vichongeo.Ok, sawa naomba nikushauri kiprofessional sasa mimi kama [mention]Mr Chromium [/mention]
Huyo jamaa ni manipulator kwanza ufahamu!!
Na mtu wa hivo hutafuta kitu unachokihofia ndio hukushika nacho mateka!!…Ashajua unahofia kudharirika ndio hofu yako kwaiyo anatumia hiyo kuendelea kukushikiria mateka!!
Cha kufanya
1.Anza naww blame game : Kumuonesha yy ndio mbaya , anza kumlaumu kama analewesha watu kisha anawaingilia kinyume na maumbile,,, anza kumtishia kumchafua kwa tabia yake hyo kama anamke mtishie pia, watoto au familia yake ( Lakini usiingie kwene vita kabisa kama huna mabavu)
2.Nenda polisi dawati la jinsia andika shtaka kwamba alikurubuni na kukuingilia na analazimisha kuendelea kukuingilia na kukutisha (Andika shitaka si kwa ajili ya kumkamata kwa ajili ya tahadhari na kujilinda) hawa wapo kwa ajili ya GBV gender based violance (hyo n moja wapo) kwaiyo kama atajaribu kufanya chochote kile unaenda kuiamsha hii kesi
3.Kuwa tayari kupoteza kila kitu
“Kati ya vitu hatari duniani ni mtu”
Mtu yyte anayekutisha ni kwasababu anajua unaogopa kupoteza kitu kamwe hawa MANIPULATOR hawaendi kwa mtu mwenyewe haogopi kupoteza kitu
Nyongeza.Asome Zaburi ya 51 kwa kumaanisha, na Kisha aombe tu kwa kusema Yesu naomba Toba na Rehema kwa kuwa nilikuwa nafanya anataja ... naomba unirehemu maana neno lako linasema katika 1wakorintho 6:9 kuwa wafiraji hawataurithi ufalme wa Mungu naomba Leo unirehemu Mimi na kizazi changu utuondolee uovu huu, ututakase kwa damu yako...
Aombe mpaka apate amani moyoni...
Kwa muendelezo Kila siku
Mtumishi Mama mchungaji Lamomy kipenzi changu,Mhmm!! Yani pamoja na kufanyiwa hayo bado ukaenda na kuchepuka na kuwalazimisha hiyo michepuko ikufanyie usodoma zaidi???
Halafu ndo unataka uache?? Uko serious kweli? 🤡
Hebu baba mtumishi pitia hapa uniambie ni hii kesi utaamua vipi Tlaatlaah
Pole sana dada.Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.
Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia. Japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.
Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.
Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.
Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.
Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu. Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu.
Shida inakuja hivi, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana. Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha, atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.
Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo (hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo).
Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume? Kwanza nitamshtaki kwa nani?
Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.
AimenNyongeza.
1. ajutie kwa dhati juu ya dhambi hio.
2. aweke mkata na M/Mungu kuwa hatorudia dhambi hio
3. akemee na arekebishe kila maovu ya dhambi hio. (Iwe kwa mkono, ulimi na akishindwa akemee moyoni).
NB: Kama ni tangazo, basi lolote baya limkute muhusika.
Naona hujaipata hio KIUMEESijui anapambana naye vipi wakati kashamuharibu 😂😂😂😂
Nakuona unakwepa naomba toa ushauri km uliotoa kule kwa yule firauni mwingine 😂😂😂Mtumishi Mama mchungaji Lamomy kipenzi changu,
hebu ñjoo inbo mara moja....
Hili bila maombi na maombezi ya kilo ni ngumu kulielewa na kuiona suluhu ya amani na uhakika, kwasbabu maelezo ya kujitosheleza juu ya hili hatunayo na kwahivyo hatutaweza kufikia muafaka wenye Baraka za Mungu au kutoa hukumu ya ya haki ispokua, tutachochewa na kusukumwa na mihemko, jazba na uonevu dhidi ya pengine asiestahili...
Amen....
Kwako Mama mchungaji...
Sentensi tata hiyo ujue😅Unajua nina jicho la tatu
Hebu nielekeze kwa kina itakuwa hiyo segment sijaelewa 😂😂😂Naona hujaipata hio KIUMEE
Hii imeenda kabisa!!ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.
Upambane naye kiume!!!??? Mpaka hapo hii ni CHAI ma wewe ni mchicha mwiba (SHOGA)Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.
Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia. Japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.
Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.
Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.
Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.
Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu. Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu.
Shida inakuja hivi, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana. Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha, atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.
Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo (hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo).
Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume? Kwanza nitamshtaki kwa nani?
Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.
Mama mchungaji kipenzi changu mtumishi LamomyNakuona unakwepa naomba toa ushauri km uliotoa kule kwa yule firauni mwingine 😂😂😂