Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

Huu uzi ni wa kizembe sana, hamna picha wala video, mleta uzi unakwama wapi?
 
Asome Zaburi ya 51 kwa kumaanisha, na Kisha aombe tu kwa kusema Yesu naomba Toba na Rehema kwa kuwa nilikuwa nafanya anataja ... naomba unirehemu maana neno lako linasema katika 1wakorintho 6:9 kuwa wafiraji hawataurithi ufalme wa Mungu naomba Leo unirehemu Mimi na kizazi changu utuondolee uovu huu, ututakase kwa damu yako...

Aombe mpaka apate amani moyoni...

Kwa muendelezo Kila siku

Huwa nakupendaga tu japo sikufahamu, be blessed.
 
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.

Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia. Japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.

Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.

Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.

Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.

Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu. Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu.

Shida inakuja hivi, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana. Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha, atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.

Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo (hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo).

Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume? Kwanza nitamshtaki kwa nani?

Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.
Itakua amekutanua sana sasa kibamia chake kinakupwaya unataka hogo kubwa.
 
Kinyume na maumbile ndo Nini?
 
We sio dume kweli,kama umezoea endelea
 
[emoji23][emoji23][emoji23] HOGO LA HAJA
Hogo la kwenda [emoji23]

Screenshot_20231116-164008_Google.jpg
 
Bila shaka ni hivyo.

Angekua huru kipesa asingekubali kutinduliwa mtaro kwa miaka 5

Then sina cha kumshauri. If you lower standard yako kufikia kutokuwa na uhuru wa kifedha, that means huna uamuzi, unataka ushauri gani?

Mtegaji huyo! Atawapata mafala...
 
Nguvu kubwa ya kutoka hapo ulipo ipo ndani yako .

Na Jambo lolote liwe baya au zuri linalompata Binadamu ni yeye anakuwa ameruhusu either kwa kujua au kwa kutojua the chances are nikujifanyia usafi ndani yako zaidi kupitia self -image and self evaluation finally you will get on top.
 
Receipt ya malipo ya tangazo hakikisha inapita kwa muhasibu shabiki wa makolo. Then hakikisha file lako liko masijala hiyo receipt ikiwa juu
 
Mhmm!! Yani pamoja na kufanyiwa hayo bado ukaenda na kuchepuka na kuwalazimisha hiyo michepuko ikufanyie usodoma zaidi???
Halafu ndo unataka uache?? Uko serious kweli? 🤡

Hebu baba mtumishi pitia hapa uniambie ni hii kesi utaamua vipi Tlaatlaah
 
Back
Top Bottom