Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
No 1 naona ndyo sahihi...Nakuhurumia ila....
1. Hili limekaa kama tangazo hivi........
2. Kama ni kweli basi ni kama unampenda jamaa hivi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No 1 naona ndyo sahihi...Nakuhurumia ila....
1. Hili limekaa kama tangazo hivi........
2. Kama ni kweli basi ni kama unampenda jamaa hivi....
Unavyopenda mikwaruzano sasa..!😅🙌Si kichambo hiki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆🙌
Hahaaa sawaHapana,, nimecheka tu ulivyomjibu jamani😆😌
Yaani mtu sio hata mume wako umuogope ushindwe kuachana nae. Na anauhakika hana videos zake. Nini hapo anaogopa kama hajaja hapa kutafuta wateja.Inawezekana kabisa...
Heeee😳🤔Unavyopenda mikwaruzano sasa😅🙌
Usifanye mchezo na Jf bhana ni zaidi ya google! AmKATRINA soma hiyo hahaha sijui kama atarudi 😂😂😂😂Miaka 8 iliyopiga ulikuwa na miaka 55 hii Ina maana kuwa sahivi una miaka 63-64 Bibi embu nenda taratibu mbn tu naelewa tuView attachment 2815461
Una points kwa kweli...Yaani mtu sio hata mume wako umuogope ushindwe kuachana nae. Na anauhakika hana videos zake. Nini hapo anaogopa kama hajaja hapa kutafuta wateja.
Labda kama amerogwa.
Shida ni chai za jf hizi hahahahaYaani mtu sio hata mume wako umuogope ushindwe kuachana nae. Na anauhakika hana videos zake. Nini hapo anaogopa kama hajaja hapa kutafuta wateja.
Labda kama amerogwa.
Hizi chai zinazohusisha vinyeo zinafikirisha sanaShida ni chai za jf hizi hahahaha
Yani hili ni tangazo lenye promotion ndani yake hahahahaHizi chai zinazohusisha vinyeo zinafikirisha sana
Atapata anachokitaka, saa hizi wahuni wameshapanga foleni pmYani hili ni tangazo lenye promotion ndani yake hahahaha
Zamani sana Miaka 11 iliyopita alikuwa anatafuta mchumba angalia thread zake mwaka 2012 alizoanzisha MMUAtapata anachokitaka, saa hizi wahuni wameshapanga foleni pm
Nenda ukamfariji😀Shetani usinizoee unanisukuma niende PM kwa huyu dada nikafanye nini?
Huko aendako si atalazimisha wengine?Kwa maelezo yako siyo kwamba hutaki kitendo cha kuingilwa kinyume,bali hutaki kulazimishwa muda ambao hujisikii.Ukichepuka unafosi uingiliwe.Pole ushakua addicted.Fanya jitihada hata za kuhama maeneo hayo.