Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

Umenitamanisha sana nipe number yako tujue tunaanzia wapi hiyo kesi yako mimi ni mwanasheria nitakusaidia kisheria swala talaka za ndoa au kuachana kisheria.... tigo tam sana hata sheria inakataa niko tayari kukusaidia kuacha kutumia tope japo tope tam nyie ....tabia hii mbaya
 
Pole sana...

Mshitaki huyo kuwa anakulazikisha kufanya na anakutisha kuonyesha picha zako za utupu..

Omba Toba na Rehema kwa Mungu kwa ajili yako na kizazi chako...
Mbona na yeye ni mchepukaji na michepuko nayo anailazimisha imfanyie hivyo?

Aache kwanza kuilazimisha michepuko kisha ndo afutie huyo wa ndani.

Dah kaazi kweli kweli.
 
Shame on Me nimekuomba Tigo kwani?

Ushauri wako au wa mwenzako kama na wewe unataka ushauriwe sema..

heri yeye mwenye lake moja kaliweka wazi, yaseme yako na wewe tukupe ushauri.

Kujifanya wastarabu wastarabu kumbe hamna lolote.

Ndio umemshauri nini sasa hapo, eti Run Away ingekua Run Away ninrahisi si angeshaepa...

kaja anataka umshauri we unamwambia Run Away How,mpe njia... Apoteze maisha yake yapi Kutoa Tigo ni kupoteza Maisha?

in 5 Good Years alikua akitoa alipoteza maisha? acheni kushabikia upande mmoja wa shilingi shenzi wewe...alilazimishwa au alikabwa? si unaona alikua akisapot na yeye?!

Unaposhauri shauri kama mtu unaejielewa.

Speechless !!.
Comment yangu imegusa weak spot yako hadi umeshindwa kujizuia kutapika. pure fact, anal sex nishatumia that's why nimejua na wewe ni mdhoefu tuuuuu but I'm not desperate kutafuta wanaume jf especially walio mentally and emotionally weak like you. Guy don't spit your bitterness on me, sijakuumiza dearest
 
Sema kuacha hako ka mchezo mdada akishazoea mmmh sijui kama utaweza lakini ukiamua utaweza.

Una watoto? amini nakwambia Sex hata kama utafanya kawaida haitokua Burudani tena kwako.

Mwanaume hata akipitisha tu mboo juu ya mchirizi kuelekea kwenye K utahisi anataka kukufira... akikuchezea K akigusa tu area ya tigo utahisi anataka kukufira...

Ki ufupi mapenzi kwako yatakua burudani yenye kasoro hutofurahia tena mapenzi nakuona namna unavyoenda kuyapotezea mapenzi yani nakuona kabisa.

utaweza yafurahia mapenzi kama TU utafanikiwa kumbadilisha mwanaume wako huyo huyo aache hiyo tabia na uendelee nae. Otherwise Sex haitokua tena kitendo kizuri kwako.

ni kama walevi tu wanakunywa ila kuna limit wakifika hawaendelei wanaogopa, ndio wewe sasa
Ushauri mzuri huu...
 
Speechless !!.
Comment yangu imegusa weak spot yako hadi umeshindwa kujizuia kutapika. pure fact, anal sex nishatumia that's why nimejua na wewe ni mdhoefu tuuuuu but I'm not desperate kutafuta wanaume jf especially walio mentally and emotionally weak like you. Guy don't spit your bitterness on me, sijakuumiza dearest
Si kichambo hiki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆🙌
 
Mungu aturehemu kwa haya mambo tunayoyafanya. Yakupasa kufanya toba ya kweli na ukusudie kaacha kabisa kitendo hicho kibaya.
 
IMG.jpeg
 
Komaa nae tu, sasa mkiachana nani atakuoa? Wewe mwenyewe umeshakuwa fundi, kama yeye hawezi kubadilika unafikiri wewe utabadilika?
 
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.

Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia....japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.

Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.

Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.

Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.

Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu.
Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu

Shida inakuja hv, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana.

Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha,atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.

Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo...(hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo)

Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume?
Kwanza nitamshtaki kwa nani?
Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.

Ok, sawa naomba nikushauri kiprofessional sasa mimi kama [mention]Mr Chromium [/mention]

Huyo jamaa ni manipulator kwanza ufahamu!!
Na mtu wa hivo hutafuta kitu unachokihofia ndio hukushika nacho mateka!!…Ashajua unahofia kudharirika ndio hofu yako kwaiyo anatumia hiyo kuendelea kukushikiria mateka!!

Cha kufanya
1.Anza naww blame game : Kumuonesha yy ndio mbaya , anza kumlaumu kama analewesha watu kisha anawaingilia kinyume na maumbile,,, anza kumtishia kumchafua kwa tabia yake hyo kama anamke mtishie pia, watoto au familia yake ( Lakini usiingie kwene vita kabisa kama huna mabavu)

2.Nenda polisi dawati la jinsia andika shtaka kwamba alikurubuni na kukuingilia na analazimisha kuendelea kukuingilia na kukutisha (Andika shitaka si kwa ajili ya kumkamata kwa ajili ya tahadhari na kujilinda) hawa wapo kwa ajili ya GBV gender based violance (hyo n moja wapo) kwaiyo kama atajaribu kufanya chochote kile unaenda kuiamsha hii kesi

3.Kuwa tayari kupoteza kila kitu

“Kati ya vitu hatari duniani ni mtu”
Mtu yyte anayekutisha ni kwasababu anajua unaogopa kupoteza kitu kamwe hawa MANIPULATOR hawaendi kwa mtu mwenyewe haogopi kupoteza kitu
 
Vijana bana tena wa hovyooooooo....................eti tishia kujamba
 
Back
Top Bottom