Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

Asome Zaburi ya 51 kwa kumaanisha, na Kisha aombe tu kwa kusema Yesu naomba Toba na Rehema kwa kuwa nilikuwa nafanya anataja ... naomba unirehemu maana neno lako linasema katika 1wakorintho 6:9 kuwa wafiraji hawataurithi ufalme wa Mungu naomba Leo unirehemu Mimi na kizazi changu utuondolee uovu huu, ututakase kwa damu yako...

Aombe mpaka apate amani moyoni...

Kwa muendelezo Kila siku
Nakupendaga bure tu we mubinti
 
Ilipaswa umkatae siku ile ile alipokuomba masuala hayo ya kifirauni, ila kumuendekeza ndio imekuwa nongwa sasa

Kumuacha sawa utaweza ila funga ila aina ya mawasiliano nae, maana visingizio vyake huyo ni kutaka aendelee kupata ufirauni wake hivyo usiangalie nyuma sepa usigeuke!!,

kuna watu video zao zilivuja hizo zako nahisi cha mtoto ila wakakaza buti na kusonga mbele

Cha msingi mrudie Yesu, achana na hiyo dhambi na hakikisha hata utakaempata huko mbeleni usimfundishe huo ufirauni, maana waswazi wanasema Jasiri huwa haachi Asili

Isije siku kijana wa watu anajikuta kapelekwa kwa mpalange🤣
 
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.

Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia....japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.

Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.

Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.

Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.

Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu.
Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu

Shida inakuja hv, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana.

Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha,atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.

Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo...(hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo)

Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume?
Kwanza nitamshtaki kwa nani?
Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.

Sijaelewa uliposema upambane kiume we n mwanaume??
 
Naona ushauri mwingi ni wa kumkimbia huyo mwamba, hivi mnajua wanaume wanaojua kuganda kama luba...

Sasa ndo huyo mwamba, atamfuata popote alipo...
mwanaume anakugandaje kama Luba kwa mfano, sema tu labda bado na wewe una chembe za upendo ndani yako,naamini moyo ukisema STOP hata ugande vipi haiwezi kubadilika.
 
Leo katika historia

Screenshot_2023-11-16-15-08-00-51_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
 
Ni hatari sana kumtishia mtu unayelala naye kitanda kimoja awe mwanamme au mwanamke.Anaweza kukufanya chochote hata kama wewe ni mbabe kiasi gani!
Huyo ni shetani .Kuachana naye lazima upigane mpaka ummalize.Solution hapo ,"muweke sumu kwenye chakula afe au mkodishie majambazi kwa kutumia pesa zake mwenyewe,wamkate u.u.me au wamfanye hanithi,bila yeye kujua kwamba unahusika".
 
Naona ushauri mwingi ni wa kumkimbia huyo mwamba, hivi mnajua wanaume wanaojua kuganda kama luba...

Sasa ndo huyo mwamba, atamfuata popote alipo...
Kwa hiyo akikuganda kama ruba hapo hapo wakati una mkataa utakuwa unaendelea kumpa nyuma?
Wangapi wanawaganda na mnawalia vyao na kuwakimbia? Shida mnakuwa hamna msimamo mnapima upepo tuu!

Kwani akiendelea kukusumbua si anapoteza muda wake bure yeye? Au mtu akikuganda kama ruba basi anapewa zawadi ya kukugand?
Mtu kama humtaki humtaki tuu hata atumie mbinu gani atachoka lakini ukijirahisisha kisa kakuganda lazima uingiliwe kinyume na maumbile na huwa mnapenda wenyewe sio kwamba mnashitukizwa au kulazimishwa mnapenda!
 
Haya mambo ni magumu sana, Tatizo lipo hivi;
Anaweza akaachana na huyo mwanaume, then baada ya lets say mwaka mmoja, akapata mwanaume mwingine ambaye hajui A wala B kwamba mwenzake alikuwa na michezo ya kurukwa ukuta, mwanaume akatangaza ndoa akamuoa na kumfanya kuwa mwanamke wake wa heshima zote, shida inakuja huyu huyu bidada ambaye sasa hivi analalamika ubabe, ataanza kuwaza jamaa aliyemuoa hayuko romantic, mwishowe ataanza kurudi na kuchepuka kule kule kwa jamaa yake akazibuliwe tena mtaro, na kuanza kumdharau aliyemuoa, hawa wanawake aisee, wanaume wenzangu tuendelee kuishi nao kwa akili tu!
huyu kuacha ni uongooo wenye shuhuda wanakwambia ngumu mnoo kuacha huyu hapa anaweza fatwa pm na memba akaendeleza game
 
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.

Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia....japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.

Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.

Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.

Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.

Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu.
Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu

Shida inakuja hv, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana.

Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha,atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.

Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo...(hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo)

Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume?
Kwanza nitamshtaki kwa nani?
Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.
Kupambana naye kiume? Kivipi yani?
 
Katoe iyo mitako mikubwa ya mloganzila atabadilika mwenyew hatatamani tena uo ufuska

Hivi nia yenu ya kuwa na makalio makubwa ni nini hasa?
 
Back
Top Bottom