Nawezaje kuachana na Single Mother bila kuumiza hisia zake?

Nawezaje kuachana na Single Mother bila kuumiza hisia zake?

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
Wakuu tayari kishanilamba

Huyu single mother ashaanza kuniletea mapicha picha aisee kila rangi naiona

Inafikia muda ananizuia nisimtumie mama yangu hela.

Nilidhani nimepata mke ama kweli nimeamini kuwa single mother hawaolewi.

Mabro na dadaz naombeni ushauri wenu.

Namuachaje huyu kiumbe bila kuumiza hisia zake na pia tuendelee na uhusiano wa kawaida bila hata kushenyentana

Karibuni
 
Umuofia kwenu wakuu tayari kishanilamba huyu single mother ashaanza kuniletea mapicha picha aisee kila rangi naiona aisee inafikia muda ananizuia nisimtumie mama yangu hela. Nilidhani nimepata mke ama kweli nimeamini kuwa single mother hawaolewi.
Mabro na dadaz naombeni ushauri wenu namuachaje huyu kiumbe bila kuumiza hisia zake na pia tuendelee na uhusiano wa kawaida bila hata kushenyentana karibuni!!
Usha ipiga mbunye utakavyo na Sasa unataka kumuachia majukumu yakee.
 
Umuofia kwenu wakuu tayari kishanilamba huyu single mother ashaanza kuniletea mapicha picha aisee kila rangi naiona aisee inafikia muda ananizuia nisimtumie mama yangu hela. Nilidhani nimepata mke ama kweli nimeamini kuwa single mother hawaolewi.
Mabro na dadaz naombeni ushauri wenu namuachaje huyu kiumbe bila kuumiza hisia zake na pia tuendelee na uhusiano wa kawaida bila hata kushenyentana karibuni!!
Fanya hama ilo eneo
 
Kwani kuna makubaliano yeyote ya kisheria (Ndoa)? Kama hakuna unaweza kumueleza wazi kwamba umeamua kumuacha aendelee na maisha yake, kila mmoja afanye amaisha yake

Lakini hebu jaribu kupima kuhusu hoja yake kuhusu matumizi ya hela/kipato chako

Kama una matumizi ya hovyo ya fedha/kipato chenu anayo haki kukusahihisha, hakuna familia itakuwa na uchumi imara kama hujifunzi kutunza na kuwa makini na kipato chenu
 
Umuofia kwenu wakuu tayari kishanilamba huyu single mother ashaanza kuniletea mapicha picha aisee kila rangi naiona aisee inafikia muda ananizuia nisimtumie mama yangu hela. Nilidhani nimepata mke ama kweli nimeamini kuwa single mother hawaolewi.
Mabro na dadaz naombeni ushauri wenu namuachaje huyu kiumbe bila kuumiza hisia zake na pia tuendelee na uhusiano wa kawaida bila hata kushenyentana karibuni!!
Muwe mnakutana kanisani tu siku za maungamo, ibada na misa takatifu na nyote mtasamehewa uzinifu wenu na mtabarikiwa,

Aimen.

🐒
 
we jama pimbi. sheria inasema jenge unako elekea usijenge utokako. kwan huyo mm yako ni mgonjwa ? au amezeeka ? kama ni mzima tu acha ujinga. ukute familia yako hauitunz kikamilifu hapo hapo unafanya majukum yasiyo ya lazima. MN CWEZ KUMWACHA MPENZ WANGU KISA MAMA AU BABA AU NDUGU NI UJINGA HUO.
 
Kuna mengi haujayaelezea, ili tukushauri sahihi mkuu....

Mlikutana wapi?

Mnamuda gani miwa pamoja?

Je mmaishi nyumba moja?

Mlikua mnampango wowote kwa pamoja?

Mnamtoto mlie zaa nae?

Je anajishungulisha na chochote?

Kwanini unamuhurumia kwamba umuache na asiumie wakati unajua kabisa lazima ataumia?

Kuna chochote cha maendeleo mmefanya pamoja?

Je unajukikana kwao ama anajukikana kwenu?

Mtazamo wangu ni:-
Huyo mwanamke ulimchukua kwa kusikiliza hisia zaidi bila kushurikisha akili ili ufanye maamuzi sahihi pale mwanzo kabisa.
Nina hakika wewe ndie ulimtamkia kumuoa na akaacha kilakitu kwaajili yako.
Kwasasa unaona ukikosea/haukumpenda bali nyege ndio zilikushawishi.
Kwasasa umejiona upo class ya juu na unamuona kama hakufai tena, yamkini unamlinganisha na wadada wengine kazini ama maeneo unayo tembelea.
Nitakuja kuendelea baadae........
 
Umeona watu wamekujua kwenye ile I’d yako umeona uje na I’d mpya mzee

Huyo sio single maza, huyo ni mwanamke uliyezaa naye na mtoto wenu ana takribani miaka miwili, ila tatzo kabla ya ujauzito aliku cheat vikali sanaa na haukuweza kumuacha

Mpaka alipokuja kukwambia ana ujauzito ulijua ujauzito wa jamaa yake mwingine aliyekucheat naye

Usimuachie huyo mtoto , huyo ni damu yako, kitoto cha kike kizuri tu kina umr wa miaka 2, utamuachia mzigo huyo manzi kwani alijifunza baada ya lile tukio na hawezi rudia tena ku cheat

Yeye mwenyewe sio kama anakupenda sana ila amekuwa anapenda mustakabali wa mtoto wake mtoto awe na baba anayemlea na kupata mapenzi ya baba

Kiukweli ali cheat kipindi kile kwa uzembe wako wewe mwenyewe kwa kumpiga matukio ya kukufumania na wanawake tofaut tofaut

Sorry bro… usije ukamuacha huyo mwanamke tafadhali
 
Back
Top Bottom