Nawezaje kuachana na Single Mother bila kuumiza hisia zake?

Nawezaje kuachana na Single Mother bila kuumiza hisia zake?

Kuna mengi haujayaelezea, ili tukushauri sahihi mkuu....

Mlikutana wapi?

Mnamuda gani miwa pamoja?

Je mmaishi nyumba moja?

Mlikua mnampango wowote kwa pamoja?

Mnamtoto mlie zaa nae?

Je anajishungulisha na chochote?

Kwanini unamuhurumia kwamba umuache na asiumie wakati unajua kabisa lazima ataumia?

Kuna chochote cha maendeleo mmefanya pamoja?

Je unajukikana kwao ama anajukikana kwenu?

Mtazamo wangu ni:-
Huyo mwanamke ulimchukua kwa kusikiliza hisia zaidi bila kushurikisha akili ili ufanye maamuzi sahihi pale mwanzo kabisa.
Nina hakika wewe ndie ulimtamkia kumuoa na akaacha kilakitu kwaajili yako.
Kwasasa unaona ukikosea/haukumpenda bali nyege ndio zilikushawishi.
Kwasasa umejiona upo class ya juu na unamuona kama hakufai tena, yamkini unamlinganisha na wadada wengine kazini ama maeneo unayo tembelea.
Nitakuja kuendelea baadae........
Mkuu maswali yako yote ni sahihi kwa 100% endelea part 2 yake nyegera zilinizidi aisee
 
Back
Top Bottom