Nawezaje kuachana na Single Mother bila kuumiza hisia zake?

Nawezaje kuachana na Single Mother bila kuumiza hisia zake?

Wakuu tayari kishanilamba

Huyu single mother ashaanza kuniletea mapicha picha aisee kila rangi naiona

Inafikia muda ananizuia nisimtumie mama yangu hela.

Nilidhani nimepata mke ama kweli nimeamini kuwa single mother hawaolewi.

Mabro na dadaz naombeni ushauri wenu.

Namuachaje huyu kiumbe bila kuumiza hisia zake na pia tuendelee na uhusiano wa kawaida bila hata kushenyentana

Karibuni
Kati ya mke na mama ako nani kamkuta mwenzie
 

Attachments

  • FB_IMG_1778414808624.jpg
    FB_IMG_1778414808624.jpg
    103.6 KB · Views: 16
Umeona watu wamekujua kwenye ile I’d yako umeona uje na I’d mpya mzee

Huyo sio single maza, huyo ni mwanamke uliyezaa naye na mtoto wenu ana takribani miaka miwili, ila tatzo kabla ya ujauzito aliku cheat vikali sanaa na haukuweza kumuacha

Mpaka alipokuja kukwambia ana ujauzito ulijua ujauzito wa jamaa yake mwingine aliyekucheat naye

Usimuachie huyo mtoto , huyo ni damu yako, kitoto cha kike kizuri tu kina umr wa miaka 2, utamuachia mzigo huyo manzi kwani alijifunza baada ya lile tukio na hawezi rudia tena ku cheat

Yeye mwenyewe sio kama anakupenda sana ila amekuwa anapenda mustakabali wa mtoto wake mtoto awe na baba anayemlea na kupata mapenzi ya baba

Kiukweli ali cheat kipindi kile kwa uzembe wako wewe mwenyewe kwa kumpiga matukio ya kukufumania na wanawake tofaut tofaut

Sorry bro… usije ukamuacha huyo mwanamke tafadhali
🤣🤣🤣🤣🤣
Duh kumekucha
Hii ndo jf
 
Back
Top Bottom