Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Usha ipiga mbunye utakavyo na Sasa unataka kumuachia majukumu yakee.Umuofia kwenu wakuu tayari kishanilamba huyu single mother ashaanza kuniletea mapicha picha aisee kila rangi naiona aisee inafikia muda ananizuia nisimtumie mama yangu hela. Nilidhani nimepata mke ama kweli nimeamini kuwa single mother hawaolewi.
Mabro na dadaz naombeni ushauri wenu namuachaje huyu kiumbe bila kuumiza hisia zake na pia tuendelee na uhusiano wa kawaida bila hata kushenyentana karibuni!!
Fanya hama ilo eneoUmuofia kwenu wakuu tayari kishanilamba huyu single mother ashaanza kuniletea mapicha picha aisee kila rangi naiona aisee inafikia muda ananizuia nisimtumie mama yangu hela. Nilidhani nimepata mke ama kweli nimeamini kuwa single mother hawaolewi.
Mabro na dadaz naombeni ushauri wenu namuachaje huyu kiumbe bila kuumiza hisia zake na pia tuendelee na uhusiano wa kawaida bila hata kushenyentana karibuni!!
Mkuu nawezaje kupiga chini bila kuumiza hisia zakeMkuu, kabla hujachelewa, piga chini.
Dr siwezi kuhama ndo nimeripoti kazini hivi karibuni najuta sana yaani nahisi kama nishajaa kwenye mfumoFanya hama ilo eneo
Muwe mnakutana kanisani tu siku za maungamo, ibada na misa takatifu na nyote mtasamehewa uzinifu wenu na mtabarikiwa,Umuofia kwenu wakuu tayari kishanilamba huyu single mother ashaanza kuniletea mapicha picha aisee kila rangi naiona aisee inafikia muda ananizuia nisimtumie mama yangu hela. Nilidhani nimepata mke ama kweli nimeamini kuwa single mother hawaolewi.
Mabro na dadaz naombeni ushauri wenu namuachaje huyu kiumbe bila kuumiza hisia zake na pia tuendelee na uhusiano wa kawaida bila hata kushenyentana karibuni!!
Mmeoana?Mkuu nawezaje kupiga chini bila kuumiza hisia zake
Mkatae, utaingia kwenye mfumo bandugu shaurii zako... Ana watoto wangapii huyo singomaza ..Dr siwezi kuhama ndo nimeripoti kazini hivi karibuni najuta sana yaani nahisi kama nishajaa kwenye mfumo
Kama umepanga hama. Mwambie umehamia Dodoma kimajukumu.Mkuu nawezaje kupiga chini bila kuumiza hisia zake
Asante mkuuMuwe mnakutana kanisani tu siku za maungamo, ibada na misa takatifu na nyote mtasamehewa uzinifu wenu na mtabarikiwa,
Aimen.
🐒
Aiseee ndo maana chakula hakipandiKama ulimpa uhakika wa ndoa wewe jiandae tu huyo single mother kukinukisha. Kwanza kwa sisi waswahili kuachana kwa amani hainogi