Nawezaje kuachana na Single Mother bila kuumiza hisia zake?

Huyo mpaka alishazzalishwa mtoto ni kitu gani kilifanya asiolewe? Hadi anakupangia usimtumie mama ako hela, huyo ni hatari. You just drop her, acha kujali na kujishauri shauri eti usimuumize.
 
Dr siwezi kuhama ndo nimeripoti kazini hivi karibuni najuta sana yaani nahisi kama nishajaa kwenye mfumo
Dogo umekosea sana, single mother piga ila usimpe nafasi ktk moyo wako.

Single mother moyo wake ushaumizwa huko nyuma, kufanya ujinga wa kumuamini mwanaume kwake sio rahisi.

Hapo anatazama awekwe ndani na mwanamme dhaifu kama wewe ili tu awe mke wa fulani ila yale mapenzi kabisa ndani ya moyo wake sio rahisi.
 
Huyo mpaka alishazzalishwa mtoto ni kitu gani kilifanya asiolewe? Hadi anakupangia usimtumie mama ako hela, huyo ni hatari. You just drop her, acha kujali na kujishauri shauri eti usimuumize.
Bado anampenda huyo, ngoja apigwe matukio mengine akili imkae sasa.

Tumkumbushe tu kuwa single mother atajionesha yeye ni wife material zaidi ili tu jamaa ajae kwenye mfumo.
 
Jitafakari Sana, tena Sana...Utaweza kweli kuchukua maamuzi magumu ya kimahusiano na kifamilia zaidi ya hayo?
 
Genye zimekuponza... Utalogwaa we cheza tu na mioyo ya watu arobaini yako inakuja. Sio kila mtu a naweza kupotezea wengine Hadi wakaripoti kwa babu zao.
Af kesho uhangaishe watu eti Mambo yako haya ending kumbe uliharibu mahali ukaharibiwa.
Kama ulijua bado unampima usingemchenyeta
 
Ahsante nabii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…