Kati ya mke na mama ako nani kamkuta mwenzieWakuu tayari kishanilamba
Huyu single mother ashaanza kuniletea mapicha picha aisee kila rangi naiona
Inafikia muda ananizuia nisimtumie mama yangu hela.
Nilidhani nimepata mke ama kweli nimeamini kuwa single mother hawaolewi.
Mabro na dadaz naombeni ushauri wenu.
Namuachaje huyu kiumbe bila kuumiza hisia zake na pia tuendelee na uhusiano wa kawaida bila hata kushenyentana
Karibuni
duhMkuu, kabla hujachelewa, piga chini.
Aisee
🤣🤣🤣🤣🤣Umeona watu wamekujua kwenye ile I’d yako umeona uje na I’d mpya mzee
Huyo sio single maza, huyo ni mwanamke uliyezaa naye na mtoto wenu ana takribani miaka miwili, ila tatzo kabla ya ujauzito aliku cheat vikali sanaa na haukuweza kumuacha
Mpaka alipokuja kukwambia ana ujauzito ulijua ujauzito wa jamaa yake mwingine aliyekucheat naye
Usimuachie huyo mtoto , huyo ni damu yako, kitoto cha kike kizuri tu kina umr wa miaka 2, utamuachia mzigo huyo manzi kwani alijifunza baada ya lile tukio na hawezi rudia tena ku cheat
Yeye mwenyewe sio kama anakupenda sana ila amekuwa anapenda mustakabali wa mtoto wake mtoto awe na baba anayemlea na kupata mapenzi ya baba
Kiukweli ali cheat kipindi kile kwa uzembe wako wewe mwenyewe kwa kumpiga matukio ya kukufumania na wanawake tofaut tofaut
Sorry bro… usije ukamuacha huyo mwanamke tafadhali
Usikatishwe tamaa na watu wa Jf njoo Pm tuyajenge utakosa mchumba shauri yako🤣🤣🤣🤣🤣
Duh kumekucha
Hii ndo jf
Usimuite
Wizzoo😁😁
Nishatia timu!Usimuite
TutashindwaWizzoo😁😁
Humtaki kakaake 😅Tutashindwa
Naona unajiamlia mambo🤣🤣🤣
🤣🤣Humtaki kakaake 😅
Atakufa mdomo wazi😂🤣🤣
Apambane kwanza na huyo singo mama wake
Huu ni upumbavu wa hali ya juu zaidi.Namuachaje huyu kiumbe bila kuumiza hisia zake na pia tuendelee na uhusiano wa kawaida bila hata kukushenyentana
Manini hayo???
Ila nyie watu huwa mnanifurahishaManini hayo???