Nawezaje kuanzisha Men Brotherhood? Kikundi cha wanaume cha kujengana?

Nawezaje kuanzisha Men Brotherhood? Kikundi cha wanaume cha kujengana?

Utakimbizwa.
Utaambiwa una element za wale wengine.
Ni kweli inabidi kuwa makini sana na kitu gani hasa cha kujumuisha lazima ipatikane dhima muhimu na pia namna ya kuhakikisha wanakuja tu wakusudiwa sio hao wengine. Naendelea kufanya utafiti.
 
Hili ni wazo jema sana ila utekelezaji wake ni mgumu mno. Mimi binafsi vikundi siwezi ila nikihitajika kuchangia kitu iwe hela au mawazo huwa nashiriki kisha napita zangu hivi. Vikundi vya kujuana sana kwa sasa sitaki. Hata biashara sitaki partnership ya kudumu. Kama ni dili tulipige wote tukimaliza kila mtu aangalie ustaarabu wake.
 
We mama umewehuka akili au!?
 
Ili brotherhood iwe imara, iwe tu na waanaume pekee, wanawake kuchafua hali ya hewa ni dakika chache sana.....

Ikishakua imara, wake zenu nao mnawakutanisha wanakua na ka umoja kao pia inapendeza.
Hapo kwenye kukutanisha wake zetu kuna ndugu dronedrake ataleta sabuni na vaseline kwa sababu ni mzee wa kataa ndoa.
 
au unataka uanze kuwa anko knowledge kama P.didy wa united state of america
HAta matajiri wabongo wanazo hizo kwa kiasi chake wanakutana kwenye ma yatch nadhani mambo yakina Jeffrey Epstien na Diddy hayakosi. Lakini hilo sio lengo, hii ni zaidi kama zilivyo organisation kama zilivyo
Evryman, The Mankind Project, Brothers, Inside Circle na nyinginezo ambazo zinakutanisha men and boys kwa masuala mbalimbali mfano kuna watoto wakiume ambao hawalelewei na baba kupitia hizi wanapata mentors sawa na baba kuwafundisha mambo mengi.
 
Tatizo hivi ni vya wafanyabiashara tu! Kimoja ni mchanganyiko ila kiingilio kikubwa million 20 na mpk wakupitishe wakuchunguze sana.!!
Lamomy humu JF wengi hela zao zote walizo nazo unaweza kwenda kibanda chochote cha M-pesa ukatoa endapo watakupa pin number. Hiyo 20m nyingi sana.
 
Bongo kama sio pombe hakuna cha maana kitachoweza kukutanisha wanaume.
Ndio maana nafanya tafiti jinsi ya kutafuta vitu positive vya kuwaunganisha kama mentorship, hobbies mbalimbali lakini hata mambo ya biashara, professions, na kupata platform ya kuwa open bila kuwa judged n.k. wanawake wana platform nyingi ndio maana wanakuja juu ila jamii inewaacha wanaume wenyewe.
 
HAta matajiri wabongo wanazo hizo kwa kiasi chake wanakutana kwenye ma yatch nadhani mambo yakina Jeffrey Epstien na Diddy hayakosi. Lakini hilo sio lengo, hii ni zaidi kama zilivyo organisation kama zilivyo
Evryman, The Mankind Project, Brothers, Inside Circle na nyinginezo ambazo zinakutanisha men and boys kwa masuala mbalimbali mfano kuna watoto wakiume ambao hawalelewei na baba kupitia hizi wanapata mentors sawa na baba kuwafundisha mambo mengi.
umeeleweka
 
Back
Top Bottom