Nawezaje kuanzisha Men Brotherhood? Kikundi cha wanaume cha kujengana?

Nawezaje kuanzisha Men Brotherhood? Kikundi cha wanaume cha kujengana?

Ni wazo zuri sana kama kiongozi na wote watasimamia msimamo na lengo la kikundi... Fungua watsapp group ili kiwe active zaidi nikuunga wale ambao wako commited ili uwe mwanzo.... Naunga mkono hoja
 
Acha kutisha wenzio, hizo nadharia tu 😂😂
Apo nimetisha wap mkuu? Au unafikiri neno kafara nilazima lihusishe maimani ya kishamba ya kichawi?

Kafara inaweza kuwa kujitolea na kupoteza mambo fulani mazuri ili uweze kukamilisha jambo fulani, mfano unaweza Acha kulala , unaweza Acha starehe, unaweza poteza marafiki, unaweza Acha kujali mwili wako , unaweza hatarisha hata uhai ili tu ukamilishe jambo fulani ,hiyo ni kafara .

Achana na hizo story za washamba za mambo ya adakadabra.
 
Wanaume haya maswala wengi wazinguaji, hiki cha kazini wanaume walifutiliwa mbali wakopaji wazuri halafu hawalipi.
Nikweli hatuma ule uminifu kwenye heka kama walio nao wanawake, wanawake wakiwa wanadaiwa wako tayari kutia sadaka chochote ilimradi walipe deni, mwnaume kudaiwa ni sehemu ya maisha na anajua deni haliui na halifugi.
 
Deni halifungi 🤣🤣🤣 unarelax tu na pesa ya watu.
 
Binafsi sisi tumeanzisha brother Hood yetu yakulewa na kupiga mitungi ,mambo ya pesa kila mtu akafie mbelembele .
Hili pia ni jambo la kuzingatia unapotaka kujoin hizo mambo, LENGO hasa la kutaka kikundi ni nini?

Mambo ya kijamii
Mambo ya Kifedha
Kampani ya out na kulewa
N.k
 
Hili pia ni jambo la kuzingatia unapotaka kujoin hizo mambo, LENGO hasa la kutaka kikundi ni nini?

Mambo ya kijamii
Mambo ya Kifedha
Kampani ya out na kulewa
N.k
Mambo ya kifedha bora ninunue hisa kwenye makampuni yanayoeleweka mkuu😅
 
Back
Top Bottom