Nawezaje kuanzisha Men Brotherhood? Kikundi cha wanaume cha kujengana?

Nawezaje kuanzisha Men Brotherhood? Kikundi cha wanaume cha kujengana?

Sema cha matajiri bwana, mtu mwenye biashara ya mtaji w milioni tano kushuka chini kwake si changamoto sana.
Lakini hiko ukiingia unakopa na pesa mpk million 100 kawaida. Ila kukuingiza ndio utasubiri. Kila mwisho wa mwaka tunapeanaga pesa za sikukuu kila mmoja anakunja m 2 za kuku. Hizo zinakuwa faida tu.
 
Mi nina kikundi kimoja cha kanisani cha wamama cha kusaidiana
Kwa kweli ni kizuri ni kama kikoba ila hakijakaa hivyo
Tunakutana mara moja kwa mwezi
Kina benefits nyingi sana
Mim sasa hivi nataka cha wafanya biashara sema nini uaminifu ndo naogopa
Haswa kikihusisha ela
Unamjua panda source?
Walizumianaga almost mil90
Wakamlipa lipa akaja akabaki anadai mil 90
Cha wafanya biashara wa china hicho
Kawachangia wenzie akawa wa mwisho kuja mzunguko wake wa mwisho hawataki kutoa ela mtu alikua anakunja 90M
Walao wakina mama wako na groups zinazowanyanyua kwa namna moja ama nyingine tofauti na wanaume, sisi tumeshazoea kupabana wenywe japo tunafanikiwa kwa jasho na dmu nyingi lakini kungekwa na groups kama kwa wenzetu walao tungepungukiwa ugumu wa kufanikiwa, wazo la mleta mada ni nzuri liangaliwe kwa jicho la kipekee
 
Lakini hiko ukiingia unakopa na pesa mpk million 100 kawaida. Ila kukuingiza ndio utasubiri. Kila mwisho wa mwaka tunapeanaga pesa za sikukuu kila mmoja anakunja m 2 za kuku. Hizo zinakuwa faida tu.
Ni vizuri na ni kizuri sana, kina usajili wowote labda ili kama ikitokea sintofahamu kuna sehemu mnaweza kwenda kupata msaada wa kisheri
 
Asee mkuu pata soda popote pae nakuja kulipia actually hojaa imejaa sanaa Naungaa mkono pamoja na miguuu
 
Hatari yake ni nini???
Kuna brotherhood huwa ina family day once per year, kila mtu anakuja na mke na watoto woteeee.

Ina zaidi ya miaka 10 sasa hebu nipe hasara zake nikatoe ushauri ivunjwe.
Kwa kizazi Cha Sasa kinaenda kuharibika na maadili yanashuka sana hasa kwenye masuala ya uzinzi lakini kama mmekutana wote mnamaadili yanayofanana sio mbaya
 
Back
Top Bottom