Nawezaje kubadili simu yangu bila kuathiri data zangu zote za WhatsApp na vyote toka simu ya awali?

What can I do?

Help?
ungekuwa unatumia telegram usingepoteza data zako hata moja, mkiambiwa hameni huko whatsapp mnarukaruka tu Telegram baba lao, Whatsapp nimewaachia watoto na vijana wanaoanza kubalehe.
 
Hapo utakwama mkuu
Ni lazima itakulazimu ku sign in na code ya verification itatumwa Safaricom

Kama kuna njia mpya za kusajili pay pal kwa njia rafiki kibongo ni bora ufungue acc mpya tu
Maana huko mbeleni lazima utakwama tu kama hutapata line yako

For now tafuta tu simu mpya halafu hii ya zamani ibaki kwa matumizi ya pay pal tu
Bado haipo, sema ntanunua line mpya ya safaricom niibadili niweke namba ya line mpya
 
ungekuwa unatumia telegram usingepoteza data zako hata moja, mkiambiwa hameni huko whatsapp mnarukaruka tu Telegram baba lao, Whatsapp nimewaachia watoto na vijana wanaoanza kubalehe.
Telegram, tatizo ina searchable engine!, just like Google ndio tatizo lake!
 
Bado haipo, sema ntanunua line mpya ya safaricom niibadili niweke namba ya line mpya

Ukinunua line mpya bado hutaweza ku link na paypal acc yako ya zamani labda ufungue paypal mpya

BTW Sasa hivi kuna virtual visa/MasterCard za mitandao ya simu kwanini usitumie hizo mkuu?
Au hazikidhi mahitaji lazima utumie paypal?
 
Mimi napokea pesa sio kwqmbq naitumia kulipia vitu... Nnaweza kulink namba mpya kwa kuondoa namba ya zaman kwenye settings na kuweka mpya so mpya ndio itakuwa ikipokea msg sema hapo ndo sitoweza kupokea pesa via safaricom
 
Back
Top Bottom