Nawezaje kuboresha afya ya macho pasi kutumia dawa za hospitali?

Kinau Michael

Member
Joined
Aug 18, 2023
Posts
13
Reaction score
15
Natumahi mko salama ndugu na rafiki zangu: Naomba kufahamishwa majibu ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza kulifahamu kwa kipindi cha muda sasa.

Je, naweza kuboresha afya ya macho kwa kutumia vyakula gani bila kutumia dawa za hospitali? maana nimejaribu kutumia Juice ya Karoti lakini sioni kama inaleta mabadiliko.
 
Kula karot mbili asubuh mchana na jion
 
Natumahi mko salama ndugu na rafiki zangu: Naomba kufahamishwa majibu ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza kulifahamu kwa kipindi cha muda sasa.

Je, naweza kuboresha afya ya macho kwa kutumia vyakula gani bila kutumia dawa za hospitali? maana nimejaribu kutumia Juice ya Karoti lakini sioni kama inaleta mabadiliko.
Supplements (virutubisho) vinasaidia sana kwa haraka

ila ni gharama kubwa

Mimi nimewahi kutumia mwaka 2021 niliona mabadiliko makubwa tofauti na mwanzo

NB
Shida ya matunda na mboga za majani kwa sasa hazina virutubisho kama za zamani, siku hizi modification nyingi mno ( GMO)
 
Back
Top Bottom