Kinau Michael
Member
- Aug 18, 2023
- 13
- 15
Kula karot mbili asubuh mchana na jionNatumahi mko salama ndugu na rafiki zangu: Naomba kufahamishwa majibu ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza kulifahamu kwa kipindi cha muda sasa.
Je, naweza kuboresha afya ya macho kwa kutumia vyakula gani bila kutumia dawa za hospitali? maana nimejaribu kutumia Juice ya Karoti lakini sioni kama inaleta mabadiliko.
Supplements (virutubisho) vinasaidia sana kwa harakaNatumahi mko salama ndugu na rafiki zangu: Naomba kufahamishwa majibu ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza kulifahamu kwa kipindi cha muda sasa.
Je, naweza kuboresha afya ya macho kwa kutumia vyakula gani bila kutumia dawa za hospitali? maana nimejaribu kutumia Juice ya Karoti lakini sioni kama inaleta mabadiliko.
jina la virutubisho?Supplements (virutubisho) vinasaidia sana kwa haraka