Ziweke kwa majina ya ndugu zako wa karibu kama wapo vizuti kichwani
Kama hawaeleweki utavuna mabua
Kichwa kigumu,hujaelewa tu?Usifiche mali, watakuja kunufaika usiowajua, afadhali hata ndugu wajue au kama umejaliwa watoto basi andikisha majina ya watoto kama wamiliki. Mali haifichwi
Nimeelewa vyema na huo ndio ushauri wangu kwake. Usilazimishe tufanane mtizamo . Kenge wwKichwa kigumu,hujaelewa tu?
Kibwengo 🤡 weweNimeelewa vyema na huo ndio ushauri wangu kwake. Usilazimishe tufanane mtizamo . Kenge ww
Akizuchukua Mali zote na watoto, Mimi nitaishi vipi mkuu.Usifiche mali, watakuja kunufaika usiowajua, afadhali hata ndugu wajue au kama umejaliwa watoto basi andikisha majina ya watoto kama wamiliki. Mali haifichwi