Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

Nunua pangq jipya kila siku saa ya kulala unalinoa kwa nguvu mpaka linatoa cheche hakikisha anashudia ila asijue unapolificha asijekukuchinja wakat wewe unapigia mikwara tu
 
Kaka hilo jiko la gesi na kitanda sofa bed ndo unataka ufiche , Anyway fanya hivi kabla transfer mali kwa jina la mzazi kama yupo then baada ya kuachana rudisha kwa jina lako ...
 
Wakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.

Nawaza sana juu ya mali zangu nilizozipata kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.

Haya mambo ya haki sawa yanakata.

Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali

Naomba tu msaada wa mawazo
Ushuhuda mwingine huu wa KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI. Kikubwa usimdhuru hata kidogo huyo Mke wako wa ndoa takatifu, mali ni vitu vinatafutwa kwa mwanaume, ukiweza andikisha majina ya watoto mali zenu zote..... Ila ukipata nafasi ya kuwa single USIICHEZEE
 
Wakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.

Nawaza sana juu ya mali zangu nilizozipata kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.

Haya mambo ya haki sawa yanakata.

Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali

Naomba tu msaada wa mawazo
Usiue tu mkuu 🤔
 
Hivi ndoa ni kitu cha lazima sana ? mbona watu weusi ni kama mnateseka sna ? Why would you live kwenye maisha ambayo inabidi uteseke kuficha your assets

Halaf mbona haya mambo hatusikii kwa wahindi waarabu ni black peoples tu

Tatizo kubwa black people mlipoteza identity yenu
Namshukuru mungu nilipata woman ambae kwanza kwao wa kishua, na yeye mwenyewe anazo…… michakato yote ya pesa zake inapitia kwangu , kadhalika yangu inapitia kwake

Discussion yetu kubwa ni je tuwajenge vipi watoto wetunuwezo waje kuendeleza Mali zetu baadae
Kuwe na continuity ….. Kama wahindi vile

Kama upo na wife na huwezi kuwa na discussion kama hizi ujue wote nyie ni wahalifu na wahuni ndio maanq Mwisho wa siku wahalifu hupigana risasi

Mtoto wa kiume unalilia kuandikwa kwenye hati, what a shame
Usione kama umefika sanaa mkuu..watu hubadilika...huko kuniaminisha kwako siku moja utakuja ulie machoz yaliyochangamana na kamasi..
 
Wakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.

Nawaza sana juu ya mali zangu nilizozipata kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.

Haya mambo ya haki sawa yanakata.

Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali

Naomba tu msaada wa mawazo
inaonekana wazi kuwa hamshiriki tendo la ndoa mara kwa ndio maana ndoa imejaa migogoro na mwanamke anakuwa sio mtiifu kwako.

Fanya mazoezi,kula vizuri, ichape sana walau mara 4-7 kwa wiki ili kuepuka migogoro ya mara kwa mara ndani ya ndoa
 
Hizo Mali akizipeleka Kwa mzazi wake.
Mzazi wake ana haki ya kugawanya hizo Mali Kwa ndugu zake.
Na kama ndugu zake vichwani wabovu, watamstress sana Mama/ Baba yao.
Anakuwa ameruka tatizo na kuingia kwenye tatizo tena.
 
Back
Top Bottom