Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

Kuna mwenzako huku yeye anahadaiwa na Ugali tu,

Tunasubiri na yeye siku akianza kutoa milio na kuona kila rangi,

VAR
 
Wakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.

Nawaza sana juu ya mali zangu nilizozipata kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.

Haya mambo ya haki sawa yanakata.

Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali

Naomba tu msaada wa mawazo
hivi unawezaje kuishi na ntu usimuamini kias hiki

yaani mimi hata ndoa yangu ikivunjuka kesho
huyu jamaa namtrust kwenye mali na fedha kuliko kawaida
yaani sijui kama kuna mtu nitakuja kumuamini kama huyu naona hayupo
 
kwenye ndoa kunaweza kukawa na matatizo mengi
ila kama hamuaminian kwwnye mali yaan mnaviziana kwenye mali basi hamkuwah kupendana wala kuaminiana tangu mwanzo
you may grow out of love ila trust huwa haibadiliki
 
Jidanganye,
Trust can shatter in seconds due to betrayal,broken promise or dishonesty or others factors.
hamna definition moja kwa kuwa watu wana ishi na watu tofauti
but mimi naweza nikaachana na huyu mtu muda wowote
ila kwa miaka 10 ambayo nimeishi nae i think he is the most honest person kwenye mali kuliko hata ndugu zangu
wa tumbo moja
na sidhan kwenye maisha yangu nitakaa nimuamin mtu kwenye pesa kama huyu
trust me sio watu wote wanaingia kapu moja
 
Ziweke kwa majina ya ndugu zako wa karibu kama wapo vizuti kichwani

Kama hawaeleweki utavuna mabua
Kwa ndugu napinga hoja ila Kwa mzazi mmoja ambae amewazaa kutoka Kwa baba mmoja pekee mfano kama ni mama yake anawatoto wa baba mmoja hii ni sawa. Then anatafuta mwanasheria anamwambia mama yake akubari kama mama atatangulia mbele za haki Mali zote zitakuwa za mwanangu Fulani Kwasababu yeye ndy aliozichuma na kunimilikisha Mimi mama yake. Hapo Mali itakuwa ni yake tu hata ndugu watabaki kuangalia tu.
 
Badili kila kitu kwa ndugu yako anayejielewa halafu original documents kaa nazo acha mali chache ambazo unao hazina dhamani ambazo ukifika mahakamani utasema mali zilizopo ni hizi hakikisha documents za kila mali hana access nazo.
 
Jidanganye,
Trust can shatter in seconds due to betrayal,broken promise or dishonesty or others factors.
mimi sidhan kama yeye ananiamini maana moyo wake siufaham lakin kwa upande wangu
namuamini sana
kwa miaka kumi tushakua na ugomvi mikubwa na midogo ...ups and down nyingi

ila hatujawah kugombana kwa ajili ya pesa...wala kitu chochote ambacho ni material thing
yaani kifup tumekutana
mi sio mtu wa tamaa
na yeye hivyo hivyo

kuna kipindi katika ugomvi alisema tukiachana naondoka na wanangu wewe baki na kila kitu...na mimi nikasema hivyo hivyo...sitak chochote nataka tu wanangu...(ulikua ugomvi wa kikao kabisa)
so uamuzi ukaja bakini leeni watoti mstuletee ujinga🤣🤣🤣

yaani all in all...katika kipengele cha mali nililamba bingo Mume wangu sio mtu wa mambo hayo kabisa...na wala huwa sio wa kuhesabu
nakumbuka gari aliagiza wakati inafika hakuwwpo nchini so akasema hiyo ni gari yako wewe andika majina yako ...and that is my first car...
we have a lots ambazo tumeandika majina yake na vingine nimechangia asilimia 90 ila wala sijali na wala sijawah kufikiria kwamba itakuaje tukiachana...coz ni mtu ambaye anaweza na mpaka sasa he give me everything i can think of...
...migogoro ya ndoa...ikiwa kwenye mambo ya mali nyinyi hamjawah kupendana kila mtu alikua na misheni tofauti kuanzia awali au mmoja wapo alikua ana mishen tofauti
 
hamna definition moja kwa kuwa watu wana ishi na watu tofauti
Hakuna sehemu nimesema kua watu wanaishi na watu tofauti,
but mimi naweza nikaachana na huyu mtu muda wowote
ila kwa miaka 10 ambayo nimeishi nae i think he is the most honest person kwenye mali kuliko hata ndugu zangu
wa tumbo moja
Watu hubadilika,some people mask intention until situation benefit them directly,
na sidhan kwenye maisha yangu nitakaa nimuamin mtu kwenye pesa kama huyu
trust me sio watu wote wanaingia kapu moja
Mimi sijakwambia kua usimuamini But be careful.
 
Back
Top Bottom