Kama mlichuma wote(zilipatikana wakati mko ndoani) ni haki yake mgawane,kama ulikuwa nazo kabla ya ndoa huna haja ya kuficha hana haki nazo.Wakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.
nawaZa sana juu ya mali zangu nilizozipata Kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.
Haya mambo ya haki sawa yanakata
Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali
Naomba tu msaada wa mawazo
Kama ndoa imefika pabaya, usikimbilie kuficha au kuhamisha mali kwa siri. Hilo linaweza kukuongezea matatizo kisheria. Tafuta ushauri wa mwanasheria, tambua mali zipi ni zako binafsi na zipi zinaweza kuwa mali ya ndoa, kisha hifadhi documents zako kwa njia salama na halali. Muhimu zaidi, usifanye maamuzi kwa hasira.
Hivi ndoa ni kitu cha lazima sana ? mbona watu weusi ni kama mnateseka sna ? Why would you live kwenye maisha ambayo inabidi uteseke kuficha your assetsWakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.
nawaZa sana juu ya mali zangu nilizozipata Kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.
Haya mambo ya haki sawa yanakata
Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali
Naomba tu msaada wa mawazo
Kwa ujumla, mali binafsi ni mali uliyoipata kabla ya ndoa au kwa njia inayoweza kuthibitisha kuwa ni yako binafsi. Mali ya ndoa mara nyingi huhusisha mali iliyopatikana wakati wa ndoa, hasa pale ambapo mwenza alichangia fedha, kazi, malezi au namna nyingine katika kuipata/kuiendeleza.Nawezaje kutofautisha Mali binafsi na Mali za ndoa?
Mama yako hayupo pale kwa bahati mbaya. TafakariWakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.
nawaZa sana juu ya mali zangu nilizozipata Kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.
Haya mambo ya haki sawa yanakata
Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali
Naomba tu msaada wa mawazo
Mara ya mwisho kumkojolea ilikua lini? Usije ukasema mkeo kumbe mwenzio ana mume wake huko nje wewe anakuita muwekezaji sehemu ya kujipatia mtajiHuyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali
Mganga anatumia WiFi kuiita Mizimu?
Hio ni baada ya kukojoa sana kabla hajakojoa hakua kibakaKumbe yale makasiriko yote na vitisho hapa jukwaani ni ndoa inakusumbua?
Mwanamke uliyempenda na kumfanya ubavu wako leo unamuita kibaka??
Jamaa mgumu sana kuelewa huyuKichwa kigumu,hujaelewa tu?
Na ndugu zake nao wana wake zaoZiweke kwa majina ya ndugu zako wa karibu kama wapo vizuti kichwani
Kama hawaeleweki utavuna mabua