ngorokori
JF-Expert Member
- Sep 2, 2026
- 564
- 922
Ni busara kubwa sana kukaa mbali nao hao watu sitaki kuongea mambo mengi lakini jua hao watu ni waongo sana.Hiyo michezo ya kurushiana majini sio mambo zangu
Ni busara kubwa sana kukaa mbali nao hao watu sitaki kuongea mambo mengi lakini jua hao watu ni waongo sana.Hiyo michezo ya kurushiana majini sio mambo zangu
Mtu ambaye ni mwili mmoja na yeye anamuita kibaka😹💔Mdogo wangu nyie oleweni tu imagine anamuita kibaka mtu anayempikia 😁 watu hawaogopi kufa
Naunga mkono hojaTuandikishe wana jf wenzako sisi tupo pamoja na wewe
Andika jina la Mama yako kwenye hati ya mali zako
My brotha hapo huchomoki wanawake hawa wa leo si wale wa toleo lile lililokuwa na adabu na heshima hawa wa leo wanatolea macho kwenye izo harakati na assets wakiona madogo wamekuwa wanahamishia upendo kwa watoto na wewe anakusetia pressure na kisukari ili uombe poo ,na sijui nani aliwaambia kwamba utaanza kufa wewe yeye abakiWakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.
Nawaza sana juu ya mali zangu nilizozipata kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.
Haya mambo ya haki sawa yanakata.
Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali
Naomba tu msaada wa mawazo
Acheni ubinafsi...
Ndoa yake ina migogoro...Acheni ubinafsi...
Roho mbaya tu!
Acheni ubinafsi...
Bado hujasema utakubali tu.😎Akizuchukua Mali zote na watoto, Mimi nitaishi vipi mkuu.
Lengo lake achukue Mali na watoto Bado ni wadogo kisheria wanapaswa kuwa mama.
Sasa Mimi nitaanza upya aisee
Nibaki Sina kitu
Usijisifu sana msifu anayekukimbiza😎Hivi ndoa ni kitu cha lazima sana ? mbona watu weusi ni kama mnateseka sna ? Why would you live kwenye maisha ambayo inabidi uteseke kuficha your assets
Halaf mbona haya mambo hatusikii kwa wahindi waarabu ni black peoples tu
Tatizo kubwa black people mlipoteza identity yenu
Namshukuru mungu nilipata woman ambae kwanza kwao wa kishua, na yeye mwenyewe anazo…… michakato yote ya pesa zake inapitia kwangu , kadhalika yangu inapitia kwake
Discussion yetu kubwa ni je tuwajenge vipi watoto wetunuwezo waje kuendeleza Mali zetu baadae
Kuwe na continuity ….. Kama wahindi vile
Kama upo na wife na huwezi kuwa na discussion kama hizi ujue wote nyie ni wahalifu na wahuni ndio maanq Mwisho wa siku wahalifu hupigana risasi
Mtoto wa kiume unalilia kuandikwa kwenye hati, what a shame
Ndio maziwez ndoaUsijisifu sana msifu anayekukimbiza😎
Unaliwa tyming matata sana na umeshajaa kingi anakulia mingo akupe kelbu moja utajuata kuzaliwa.
📌TRUST NO BODY, RULE NUMBER ONE!!!