ngorokori
JF-Expert Member
- Sep 2, 2026
- 564
- 922
Binafsi sijawahi kuwaamini Hawa jamaa. Vipi wewe unawaamini?Mahakama ya wanyonge 😄
Binafsi sijawahi kuwaamini Hawa jamaa. Vipi wewe unawaamini?Mahakama ya wanyonge 😄
be careful means niishi na plan BHakuna sehemu nimesema kua watu wanaishi na watu tofauti,
Watu hubadilika,some people mask intention until situation benefit them directly,
Mimi sijakwambia kua usimuamini But be careful.
Hakimi ruleAndika jina la Mama yako kwenye hati ya mali zako
Watu hubadilika au hubadilishwa na external source,mimi sidhan kama yeye ananiamini maana moyo wake siufaham lakin kwa upande wangu
namuamini sana
kwa miaka kumi tushakua na ugomvi mikubwa na midogo ...ups and down nyingi
ila hatujawah kugombana kwa ajili ya pesa...wala kitu chochote ambacho ni material thing
yaani kifup tumekutana
mi sio mtu wa tamaa
na yeye hivyo hivyo
kuna kipindi katika ugomvi alisema tukiachana naondoka na wanangu wewe baki na kila kitu...na mimi nikasema hivyo hivyo...sitak chochote nataka tu wanangu...(ulikua ugomvi wa kikao kabisa)
so uamuzi ukaja bakini leeni watoti mstuletee ujinga🤣🤣🤣
yaani all in all...katika kipengele cha mali nililamba bingo Mume wangu sio mtu wa mambo hayo kabisa...na wala huwa sio wa kuhesabu
nakumbuka gari aliagiza wakati inafika hakuwwpo nchini so akasema hiyo ni gari yako wewe andika majina yako ...and that is my first car...
we have a lots ambazo tumeandika majina yake na vingine nimechangia asilimia 90 ila wala sijali na wala sijawah kufikiria kwamba itakuaje tukiachana...coz ni mtu ambaye anaweza na mpaka sasa he give me everything i can think of...
...migogoro ya ndoa...ikiwa kwenye mambo ya mali nyinyi hamjawah kupendana kila mtu alikua na misheni tofauti kuanzia awali au mmoja wapo alikua ana mishen tofauti
Hii tafsiri ni yako ila sio tafsiri yangu wala sio tafsiri rasmi ya neno Be careful,be careful means niishi na plan B
Hii sentensi yako imekubaliana na nilichokisema,kumbe unajua kua ipo chance ya kutokea lolote huko mbeleni,nooo..
siwezi
ikitokea lolote hapo mbeleni i wont fight kwa ajili ya mali
Kumbe hukuelewa kabisa point yangu.i can start over with nothing hata kesho
yaani sitagombana kwa ajili ya mali
huo ni msimamo wangu
na pia huo ni msimamo wake mara nyingi tu
miaka 10 sio midogo kumjua mtu
mi siishi kwa kuviziana kabisaa
maana niliyenae namjua na ndo maana bado nipo nae
likitoa lolote means tukiachanaHii tafsiri ni yako ila sio tafsiri yangu wala sio tafsiri rasmi ya neno Be careful,
Hii sentensi yako imekubaliana na nilichokisema,kumbe unajua kua ipo chance ya kutokea lolote huko mbeleni,
Mimi sijaongelea kuhusu kufight kwa ajili ya mali,nimeongelea Trust,kufight coz ya mali hiyo ni issue nyingine kabisa ambayo mimi wala sijaiongelea,
Kumbe hukuelewa kabisa point yangu.
Ndio lengo la comment langu lilikua hili,yani anything can happen,trust takes years to build but seconds to break.likitoa lolote means tukiachana
Sijakwambia kua uondoe trust kwake but kila kitu kina mipaka yake.siwez kamwe kuondoa trust
Hata yeye hakuamini (Trust me)be careful means niishi na plan B
nooo..
siwezi
ikitokea lolote hapo mbeleni i wont fight kwa ajili ya mali
i can start over with nothing hata kesho
yaani sitagombana kwa ajili ya mali
huo ni msimamo wangu
na pia huo ni msimamo wake mara nyingi tu
miaka 10 sio midogo kumjua mtu
mi siishi kwa kuviziana kabisaa
maana niliyenae namjua na ndo maana bado nipo nae
Wewe utakuja kulia na kusaga menoHivi ndoa ni kitu cha lazima sana ? mbona watu weusi ni kama mnateseka sna ? Why would you live kwenye maisha ambayo inabidi uteseke kuficha your assets
Halaf mbona haya mambo hatusikii kwa wahindi waarabu ni black peoples tu
Tatizo kubwa black people mlipoteza identity yenu
Namshukuru mungu nilipata woman ambae kwanza kwao wa kishua, na yeye mwenyewe anazo…… michakato yote ya pesa zake inapitia kwangu , kadhalika yangu inapitia kwake
Discussion yetu kubwa ni je tuwajenge vipi watoto wetunuwezo waje kuendeleza Mali zetu baadae
Kuwe na continuity ….. Kama wahindi vile
Kama upo na wife na huwezi kuwa na discussion kama hizi ujue wote nyie ni wahalifu na wahuni ndio maanq Mwisho wa siku wahalifu hupigana risasi
Mtoto wa kiume unalilia kuandikwa kwenye hati, what a shame
Kwa Mada zako ziszo na mbele wala nyuma huwez miliki mali yoyote zaid ya tv, bedsófa, kochi na dressing tableWakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.
Nawaza sana juu ya mali zangu nilizozipata kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.
Haya mambo ya haki sawa yanakata.
Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali
Naomba tu msaada wa mawazo
Nimetoka kumuonya muda sio mrefu, harafu wanaume wanaolizwa ni wale wenye Imani ya muda kama aliyonayo huyu bwana. Hata siku Moja usimwamini mwanamke kupitilizaUsione kama umefika sanaa mkuu..watu hubadilika...huko kuniaminisha kwako siku moja utakuja ulie machoz yaliyochangamana na kamasi..
Wakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.
Nawaza sana juu ya mali zangu nilizozipata kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.
Haya mambo ya haki sawa yanakata.
Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali
Naomba tu msaada wa mawazo
[/QUOTkutoka hunny mpaka kibaka ila mapenzi/ndoa 🤣🤣🤣🤦🏿🙌🏿
Nijuze hatua za kubadilisha umiliki wa mali mkuu.Nakushauri tena
Kesho ukiamka,nenda ukabadilishe hati ya umiliki wa mali zako,andika jina la Mama yako au baba yako.
Kama huwez
Tuko hapa tunasubiri uzi mwingine wa kulia.
Muda wako bado. Kaa kwa kutulia.usiwaone wanaopiga masasi ni kama walipendaHivi ndoa ni kitu cha lazima sana ? mbona watu weusi ni kama mnateseka sna ? Why would you live kwenye maisha ambayo inabidi uteseke kuficha your assets
Halaf mbona haya mambo hatusikii kwa wahindi waarabu ni black peoples tu
Tatizo kubwa black people mlipoteza identity yenu
Namshukuru mungu nilipata woman ambae kwanza kwao wa kishua, na yeye mwenyewe anazo…… michakato yote ya pesa zake inapitia kwangu , kadhalika yangu inapitia kwake
Discussion yetu kubwa ni je tuwajenge vipi watoto wetunuwezo waje kuendeleza Mali zetu baadae
Kuwe na continuity ….. Kama wahindi vile
Kama upo na wife na huwezi kuwa na discussion kama hizi ujue wote nyie ni wahalifu na wahuni ndio maanq Mwisho wa siku wahalifu hupigana risasi
Mtoto wa kiume unalilia kuandikwa kwenye hati, what a shame
Hisa au bond zilizonunuliwa na pesa zilizotokana na matrimonial assets zitaenda kuwa contested mahakamani, labda kama mke akose mwanasheria.Uza Kisha nunua hisa au bond za BOT, hisa na bond sio matrimonial it’s personal na hamtagawana.
Tafuta mteja wa mchongo kama vile mama yako mzazi "umuuzie" halafu umpe na hizo document.Wakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.
Nawaza sana juu ya mali zangu nilizozipata kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.
Haya mambo ya haki sawa yanakata.
Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali
Naomba tu msaada wa mawazo
Hiyo michezo ya kurushiana majini sio mambo zanguBinafsi sijawahi kuwaamini Hawa jamaa. Vipi wewe unawaamini?