Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
📌MWANAMKE ANAYEKUPENDA BILA STRINGS ATTACHED NI MAMA YAKO TENA NA YEYE ANAKUPENDA KWASABABU NI DAMU YAKE!!!

MAKE NO MISTAKE ABOUT IT,USIJIDANGANYE UTAPENDWA HAPA DUNIANI,WATU WOTE WANAKUONA FURSA KATIKA ANGLE FLANI.HAKIKISHA WANAVYOKUTUMIA NA WEWE UNAWATUMIA.

📌IN EVERY SITUATION MAKE SURE UNACLOSE DEAL IN A WIN-WIN END!!!!
 
Nakushauri tena
Kesho ukiamka,nenda ukabadilishe hati ya umiliki wa mali zako,andika jina la Mama yako au baba yako.

Kama huwez

Tuko hapa tunasubiri uzi mwingine wa kulia.
Sasa akifa? ndugu zake watajua mali za Mama au baba yao.
 

Basi ikawa yule mwanamke msomi profesa na mfanya biashara Tajiri,pale alipo olewa na mwanaume mwalimu WA shule ya msingi na MASIKINI.
Ndugu za mwanamke walimlaumu na kumshutumu vikali ,KWANINI pamoja na usomi wake ,utajiri wake ,amekubali kuolewa na MWALIMU WA SHULE YA MSINGI.?? wakimshauri wamuache ,avunje ndoa.


JIBU LAKE LILIKUWA MOJA TU.
Mimi Yani yeye mwanamke HAKUOLEWA na mwalimu WA shule ya msingi ILA AMEOLEWA NA MWANAUME
 
Hizi riwaya hazina uhalisia Zipo as a fantasy kwa wale dreamers ambao huwa hawapendi ukweli halisi.

📌📌MWANAUME YOYOTE TAMBUA KUWA VALUE YAKO MBELE ZA WATU HASA WANAWAKE NDIO HATMA YAKO.YOU STOP HAVING VALUE B4 THEM YOU WILL BE REPLACED.UNDERSTAND THIS AND POSITION YOURSELF ACCORDINGLY.

MFANO WA KWEKA.
B4 HAIJAFAHAMIKA KUWA HANA CANCER ALIKUWA NA VALUE KWA MWANAMKE WAKE THERE AFTER AMEKUWA DIAGNOSED WITH LATE STAGE CANCE, MWANAMKE WAKE AKAONA HAPA HAKUNA MTU AKAANZA KUPORA MALI.


📌VIJANA TOKENI GIZANI MWANGA NDIO HUU.
 
Kwanini ufiche mali , sehemu ambayo haikupi furaha na amani unaondoka, jenga kwingine waache hapo walipo anza upya dunia ina vitu vizuri kuliko hapo ulipo
 
Solution ni kutatua hiyo migogoro, sio kuficha mali.
 
Wanaume jitahidini sana kuwa stable financially maana migogoro mingi inaanzia hapo , mwanaume wa kweli unatakiwa usiwe bahili kwa mke na watoto ukitimiza hayo kulingana na mungu alivyokujalia na mwanamke akawa bado tatizo hapo piga chini
 

GOZA LILILOPO NI MEANAUME KUOA MWANAMKE ASIYEMPENDA
MWANAMKE ANAYEPENDA MATERIAL MALI ZAKO.
ATAHAMISHA MALI ZAKO KUTUMIA NA ANAYEMPENDA.
HATA HIZO MALI AKISHAZIMILIKI LAZIMA ATATAFUTA MWANAUME ANAYEMPENDA WATAZITUMIA ATAMPEA BURE.

ILA MWANAMKE ANAYEKUPENDA KWA DHATI ATASIMAMA NA WEWE NYAKATI ZA SHIDA TUMESHUHUDIA WANAWAKE WENYE MAPENZI YA DHATI WAKISIMAMA.NA WAUME ZAO MPAKA ICU ,lakini mwanamke aliyevutiwa na mali KWAKO hata ukiwa ICU umelzwa yeye anaanza kuhamisha umiliki WA mali.

Pointless Yako ya kusema mwanaume ukiwa na mali nyingi sana ndio utafanikiwa kununua mapenzi ya dhati ni very pointless,mana mali zako ndio inaweza kuwa sababu ya kifo chako,watu wakakuwahisha UFE ili warithi mali zako.
 
Mama yako ndio mwanamke pekee anakupenda kwasababu wewe ni damu yako.Wengine wote wanakupenda for a reason hata kama hajakwambia, jua kuna sababu yupo na wewe na hiyo sababu akiipata kwingine you are DISMISSED!!!

Acha kupoteza muda kutafuta giza mchana.

kaza shingo, upate kilichompata bwana Kweka wa Bunju!!!
 

Giza LILILOPO ni kwa wanaume kuoa wanawake WASIOWAPENDA.

Wanawake WAKO very precise wanajua Nini wanachokitaka wanajua mwanaume Gani wanayempenda na wanajua ni mwanaume Gani atakaye za naye hata kama upo ndani ya ndoa,anaweza kukuzalia watoto ambao sio WAKO,akazaa na mwingine ukiwa naye ndani ya ndoa.
Na anaweza akachukua pesa kwako akaenda kumuhonga mwanaume mwingine ANAYEMPENDA ,AKAMPEA BUREE KABISA.

POINTLESS ya kusema UKIWA NA MALI NYINGI ndio uta wini UPENDO WA KWELI ...UPENDO WA KWELI Hauna price tag..UPENDO HAUNUNULIKI...ILA NGONO UNAWEZA KUNUNUA.

Yani unaweza UKAMUOA MWANAMKE ila UKABAKI na mwili wake TU...ila MOYO wake hisia zake zipo kwa mwanaume mwingine ANAYEMPENDA kwa moyo/kwa dhati yeye.

Mwanamke KUKUBALI kuwa na WEWE sio guarantee kuwa anakupenda
anaweza akawa Yuko na WEWE KIMASILAHI ,GIZA lipo hapa kuwa naye mwanamke ASIYEKUPENDA
Solution ni hii
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
 
Young man, keep dreaming!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…