makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Niunganishe na jamaa moja kwa moja, niende kkoo muda huu.Duka la jumla sidhani, zinakuwa na version za 8gb na 16gb unaweza pata bei rahisi kwengine ukizunguka.
Ila usitafute maduka ya kiupigaji,
Eheheee...Niunganishe na jamaa moja kwa moja, niende kkoo muda huu.
We acha tu mzee, nina ugwadu na game ya arsenal,Ikishindikana nitaangalia kwenye simu tu japo kinyonge.Eheheee...
Ama kweli una hamu na kucheki game!!
Niunganishe na jamaa moja kwa moja, niende kkoo muda huu.
haya mambo unaweza fanya hata kwa hutu tu TVView attachment 2314992
Duka lipo hapo kariakoo swahili na Agrey makutano pale fanya kama unaenda sikukuu kabla hujafika msikiti wa Qiblatain kunja kushoto kuna Uchochoro jamaa anauza mashuka na mapazia kama machinga, ingia ndani utakuta maduka ya kutosha mule ya jumla Electronics za Kichina.
Requirement ni hdmi tu, kama hio tv ina hdmi inawezekana.haya mambo unaweza fanya hata kwa hutu tu TV
Zipo stream za iptv quality ndogo kama 480p (sd) unatumia na internet zilizo slow.Bottom line uwe na internet ya uhakika, hizi za Tigo, Halotel,Airtel,Vodacom na TTCL expect a lot of buffering. Natumia IPTV kwenye Apple TV lakini buffering za kutosha.
Shukrani mzee, nilichogundua hii tv inaweza ikawa na tatizo katika port za hdmi.View attachment 2314992