Nawezaje kuifanya LED TV kuwa smart TV?

Nawezaje kuifanya LED TV kuwa smart TV?

Niunganishe na jamaa moja kwa moja, niende kkoo muda huu.
PicsArt_08-05-01.31.25.jpg

Duka lipo hapo kariakoo swahili na Agrey makutano pale fanya kama unaenda sikukuu kabla hujafika msikiti wa Qiblatain kunja kushoto kuna Uchochoro jamaa anauza mashuka na mapazia kama machinga, ingia ndani utakuta maduka ya kutosha mule ya jumla Electronics za Kichina.
 
View attachment 2314992

haya mambo unaweza fanya hata kwa hutu tu TV
 
Attachments

  • 818568_img-20210203-134431-5_843x1500.jpg
    818568_img-20210203-134431-5_843x1500.jpg
    84.9 KB · Views: 10
Bottom line uwe na internet ya uhakika, hizi za Tigo, Halotel,Airtel,Vodacom na TTCL expect a lot of buffering. Natumia IPTV kwenye Apple TV lakini buffering za kutosha.
 
Zipo stream za iptv quality ndogo kama 480p (sd) unatumia na internet zilizo slow.

Mfano mimi nastream vizuri tu na TTCL 4mbps, ungekua na box la Android ningekusaidia app
 
View attachment 2314992
Duka lipo hapo kariakoo swahili na Agrey makutano pale fanya kama unaenda sikukuu kabla hujafika msikiti wa Qiblatain kunja kushoto kuna Uchochoro jamaa anauza mashuka na mapazia kama machinga, ingia ndani utakuta maduka ya kutosha mule ya jumla Electronics za Kichina.
Shukrani mzee, nilichogundua hii tv inaweza ikawa na tatizo katika port za hdmi.
 
Back
Top Bottom