GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Ndagu Kaka ,narudia ndagu broNaomba usiniambie haiwezekani, tafadhali!
Hiyo milioni kumi haitatumika kwa kazi nyingine zaidi ya kuzalisha hela nyingine, ili baada ya miaka mitano ziwe zimeshafika bilioni mbili.
Ingekuwa ni wewe ungefanyeje?
Asanteni sana🙏
Nitautumia huu ushauri wako bilionea.Kuwa Bilionea sio lazima utumie pesa zako. Tumia za watu ndio utafika mapema.
Mtazamo wa kutumia pesa zako ndio utoboe unachelewesha sana. Jifunze nqmna ya kutumia pesa, bidhaa, skills za wengine ili upate exponential financial growth.
Ni kweli. Kuna jamaa ni mtaoji sadaka mkubwa kuliko umri na muonekano wake, yuko kariakoo. Siku nakutana naye ananitembeza akaniambia yeye hatumii pesa zake, amefanya kazi na matajiri muda mrefu wanamuamini, anapewa bidhaa za viwandani tena hadi kutoka china bure, anauza anarudisha pesa zao na anakula faida.Nitautumia huu ushauri wako bilionea.
🤣🤣🤣 nigelifanya ivi hii 10 milion naingia pori za wamaasai nachukuwa kondoo ya bei poa na hakiksha kila kondoo mmoja na kula 25000/ kweny kondoo 100 na 2500000/ kila sku kwa mwez 75 milion kwa 1 yrs n 900 milion 🤣🤣🤣 ila hesabu ya kuwaza n raisi sana mkuu hyo kwa 10 milion uzalishe 2 billion daha akunagaNaomba usiniambie haiwezekani, tafadhali!
Hiyo milioni kumi haitatumika kwa kazi nyingine zaidi ya kuzalisha hela nyingine, ili baada ya miaka mitano ziwe zimeshafika bilioni mbili.
Ingekuwa ni wewe ungefanyeje?
Asanteni sana🙏
Issue ni nan atakupa hela zake.Ni kweli. Kuna jamaa ni mtaoji sadaka mkubwa kuliko umri na muonekano wake, yuko kariakoo. Siku nakutana naye ananitembeza akaniambia yeye hatumii pesa zake, amefanya kazi na matajiri muda mrefu wanamuamini, anapewa bidhaa za viwandani tena hadi kutoka china bure, anauza anarudisha pesa zao na anakula faida.
Ndivyo alivyoniambia muuza dagaa mmoja Temeke Stereo. Anasema yeye hamjui hata anayemtumia dagaa, anasikia tu yuko kagera huko. Kule wanavua wanakausha wanapaki, wqnawatumia wao wanauza wanarushisha pesa yao na wanatumiwa tena mtaji uaminifu.
Pia kuna watu wanaoesa nyingi benk ni waoga, wengine hawana matumizi nazo, wengine waliiba tu serikalini, wengine ni urithi, chukua hizo, waazime benki zifanyie mambo ya maana alafu kula faida warudishie pesa zao na gharama kidogo ya kusaidia kulipa wafanyakazi wa benk, na majengo waliyopanga (riba).
Kama unaaminika unaweza kuwaomba wakakupa bila riba waliozitunza huko moja kwamoja.
Duniani huko ndivyo mambo yanavuoenda. Mtazamo eti hadi uwe na pesa zako ndio uwe tajiri ni mtazamo wa kijima na kimasikini sana.
Acha bangeNaomba usiniambie haiwezekani, tafadhali!
Hiyo milioni kumi haitatumika kwa kazi nyingine zaidi ya kuzalisha hela nyingine, ili baada ya miaka mitano ziwe zimeshafika bilioni mbili.
Ingekuwa ni wewe ungefanyeje?
Asanteni sana🙏
Anza kutengeneza ukaribu na uaminifu na watu wenye pesa. Tatizo masikini wanawachukia na kuwaonea wivu Matajiri. Ndio maana mabaya yakiwapata waliofanikiwa kifedha masikini ndio wa kwanza kufurahia.Issue ni nan atakupa hela zake.
Benki ndugu yangu na hayo mariba yao ni ngumu sana kutoboza! Labda kama utakuwa na uwezo wa kupewa billions ili ufanye vikubwa! Serikali imeshindwa kuwadhibiti benki katika utozaji wa riba. Kama wao benki wanapata riba ya single digit inakuwaje washindwe kupunguza riba kwa watu? Maza ni zero brain!Ni kweli. Kuna jamaa ni mtaoji sadaka mkubwa kuliko umri na muonekano wake, yuko kariakoo. Siku nakutana naye ananitembeza akaniambia yeye hatumii pesa zake, amefanya kazi na matajiri muda mrefu wanamuamini, anapewa bidhaa za viwandani tena hadi kutoka china bure, anauza anarudisha pesa zao na anakula faida.
Ndivyo alivyoniambia muuza dagaa mmoja Temeke Stereo. Anasema yeye hamjui hata anayemtumia dagaa, anasikia tu yuko kagera huko. Kule wanavua wanakausha wanapaki, wqnawatumia wao wanauza wanarushisha pesa yao na wanatumiwa tena mtaji uaminifu.
Pia kuna watu wanaoesa nyingi benk ni waoga, wengine hawana matumizi nazo, wengine waliiba tu serikalini, wengine ni urithi, chukua hizo, waazime benki zifanyie mambo ya maana alafu kula faida warudishie pesa zao na gharama kidogo ya kusaidia kulipa wafanyakazi wa benk, na majengo waliyopanga (riba).
Kama unaaminika unaweza kuwaomba wakakupa bila riba waliozitunza huko moja kwamoja.
Duniani huko ndivyo mambo yanavuoenda. Mtazamo eti hadi uwe na pesa zako ndio uwe tajiri ni mtazamo wa kijima na kimasikini sana.
Achukue odds mbili kila siku atakuwa anaingiza milioni 10 kila siku kama faidaWale wazee wa odds mbili tu kumbe hawajafika bado 🤔🤔🤔