mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Mkuu usibishane na sayansi mkuuFanya study wanaougua kama hawana historia ya mganga au mchawi kwenye ukoo wao
Au ndio papai lina COVID-19
Cha msingi genetic disorder haifungamani na tungurii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usibishane na sayansi mkuuFanya study wanaougua kama hawana historia ya mganga au mchawi kwenye ukoo wao
Achana na historian za biblia tafuta suluhisho la matatizo ya sasaMbona yaliwaingia nguruwe
Biblia inaishi hadi keshoAchana na historian za biblia tafuta suluhisho la matatizo ya sasa
YesUnaishi huko nini mkuu?
Pole sana. Ni Yesu Kristo peke yake anaweza kutibu tatizo hili. Waganga wataongeza tatizo lako kwani ni vibaraka wa ulimwengu wa giza. Tafuta Watumishi wa kweli wa Mungu Mwenyezi (Yesu Kristo) watakusaidia.Naitwa Ododi 35yrs Mkazi wa Kimara Korogwe. Nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 6 nimebahatika kupata mtoto 1 ambae anafikisha mwaka mmoja tangu kuzaliwa na kuja kwenye hii dunia yetu ukiachana na wengine 7 ambao wapo kwenye ulimwengu mwingine.
Najua unaweza usinielewe nikisema ulimwengu mwingine kuna watoto 7, ndio ninao si uongo ila hili sijambo nataka mnisaidie mawazo kwa leo.
Tuendelee na Mada tajwa.
Nia ya kuweka maandishi haya hapa chini ni vile nimekua nikipitia magumu mengi mimi pamoja na mke wangu na sasa naona mtoto pia anapitia shida nyingi, mke wangu amekua akiteswa sana na Kiumbe cha ajabu, amekua akikiona "fluently" Kikiwa na mapembe kama mbuzi kifupi ni kiumbe ambacho kina tisha sana, Ni kimekua kikimtesa, kumkaba, kumuingilia kivyovyote kikitaka, kinamfanya awe mgonjwa malanyingi, amekua hana nafasi ya kuwaza na kufikilia vyema.
Tatzo lilianza kabla ata sija funga nae ndoa, nakumbuka kuna siku nilimuacha nyumbani kwangu nikaenda kazini, ilipofika saa nane mchana alinipigia simu akilia sana, ikanibidi kurudi home. Nilipofika nilimkuta kalala chini hawezi ata kugeuka, alinambia kuna kiumbe cha ajabu kimemfata nakumbuluza nyumba nzima, amehangaika sana kuamka kashindwa lakini alikua macho anakiona na anasikia watu nje wakiongea nakupita ila pamoja na kupiga kelele hakuna alie sikia.
Mke wangu aliniita kwa majina yangu, na akasema alivyo kua akiona kipindi yule mdudu akimbuluza pale ndani ni kama amevunja vyombo vyote na TV, nikamjibu hakuna kitu chochote kilicho vunjika kila kitu kipo kama nilivyo acha asubuhi, Mke wangu aliinuka na kukaa kama dakika 20 bila kusema kitu, baadae akanambia anahisi maumivu makali sana kwenye mbavu, mgongoni, shingoni na mikononi.
Nilimvua nguo aliyo kuwa kaivaa juu kuangalia hizo sehemu anazopata maumivu, niliona mikwaluzo ya kucha alama za vidole, na zimevia damu sehem hizo zote, kiukweli sikuelewa nikamtafutia tu dawa za maumivu nikakaa kimya, ila cha ajabu usiku wake kile kiumbe kikaja tena, this time kilikua kinaongea ila mimi sikioni kikiniomba ni mpatie mwanamke wangu then chenyewe kinipe utajiri na mali nilikataa na nilisikia kikiondoka kinalia.
Ikapita muda maisha yakaendelea mpaka nikaja muoa huyu bibie, Safari ya ndoa haikua nyepesi nilipitia wakati mgumu sana kufanikisha zoezi la ndoa, matatizo ndo yakaanza mimba zinapotea juu kwa juu, Lile dudu likaanza mambo yake, mke akawa hawezi baki na nyumba itambidi akae nje mpaka nirudi na nikirudi hawezi enda kulala mpaka twende wote chumbani, nikama likawa linataka kumpa uchizi.
Siku moja kuna rafiki yangu akanipa wazo nijaribu kumtafutia Tiba kwa masheikh wa Pemba. Nikaomba likizo kazini ili niweze mtibia mke wangu, kazini nikapewa siku7 nikaona sawa, nikatafuta ndege mpaka Pemba mimi na mke wangu ili akafanyiwe visomo wamtoe huyo mdudu.. Mmh ndugu zangu ndo kama nikawa nimeenda kuwasha moto kwenye petrol station.
Visomo viliisha tuka rejea Dar es salam, Mambo yakawa mabaya zaidi, lile dudu ndo likaanza mkaba malanyingi kuliko mwanzo, sikukata tamaa nikaendelea kuhangaikia kwa mafundi mbali mbali ambao walidai wanaweza nisaidia mikoani huko bila mafanikio. Akiba yangu ikaanza kupungua kwa kasi sana sikumaliza mwezi kazini ni kapigwa chini.
Nikarejea sasa kukaa bila kazi hali ikawa mbaya sana, ilikua 2018 nilifedheeka sana kama mnavyoelewa maisha ya mjini ukiwa nacho alafu ghafla kikakata. Nikapata insomnia kwa muda maana nilikua silali usiku, mke wangu anaweza anza piga kelele anaona vitu mimi sioni usiku wamanane.
Usiku anapigakele za kuogopa vitu ambavyo mimi sioni, akidai amezungukwa na watu wa ajabu pale tulipo lala huku akijificha mgongoni kwangu, anadai kuna kitu wanamtoa tumboni anapiga kelele analia ni msaidie, imagine sioni chochote nabaki kama zuzu sielewi naanzia wapi, kuna muda alilia sana akasema wanamuuwa, alinistua sana kuangalia vizuri naona damu kitandani, nilipomwambia damu zina kutoka alipiga kelele moja na akazima.
Nilipata hofu nilipiga simu kwao nikawaelekeza juu ya yanayo endelea kwa mtoto wao, nilimkimbiza Botch Hospital alivyochekiwa Daktari akadai alikua na mimba inaonekana imeharibika.
ITAENDELEA
Kusoma muendelezo fungua kiungo
Kwa kifupi ni kwamba kesi ya Ngedere kampelekea tumbiliHuko kwa waganga na mashekhe uchwara ndo umeenda kumuongezea madudu zaidi,kwasie wakristo huyo kabla hajafunguliwa anatakiwa afanye toba ya maagano aliyojiunga nayo ama yaukoo wao,then afanyiwe deliverence hicho kidude kitapigwa moto mpaka na aliyekituma wote watasambalatika . NB: Matatizo mnayataka wenyewe kwakupenda kwenda kwa waganga mnaacha kumtafuta Mungu mwenye nguvu kuliko hao waganga mashetani
Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi.Wew jamaa cjajua ni dini gani ila naona tu hapo visomo na mashehe.. sasa basi nakushauri tafuta huu mwamba wa uzima YESU KRISTO hakuna tatizo lililoshindikana hapo upate tu sehemu sahihi..kua na imani..hakuna jina lingine chini ya mbingu wala popote liwezalo kuokoa zaidi yake..
Yaani iwe serious zaidi ya hapo? Wewe nawe popoma!Issue ikiwa seriously nitafute PM
hata mi nimegundua ni chaiStory ya uongo! Ya kutunga.
Boss pole kwa mitihani. Ila pia hongera kwa kuendelea kuishi na mkeo. Inawezekana mkeo na familia yao kuna maagano waliingia ya kishirikina pengine yeye hajui ila wazazi wanajua. Mkeo ipo sehemu anapotambulika kama mke na wewe unaonekana umeingilia hiyo ndoa (ndoa za mizimu). Nenda kwenye maombiKusoma Ilipoanzia
Sehemu ya Pili
-----
"NITAFUPISHA HAPA, IKUMBUKWE HII NI STORI YA MAISHA YANGU KABISA KWA MUDA WA MIAKA 7, NIMEKUA NIKUZUNGUKA HUKU NA KULE KUTAFUTA MSAADA KWA KIPINDI HIKO CHOTE. NILITAMANI KUELEZEA KILA STAGE NILIYOPITIA ILI MWENYE UWEZO WAKUSAIDIA MAWAZO AJUE NIWAPI ANAWEZA SAIDIA."
J3 Tumeamka nimeendelea na kazi za kila siku, Ila hapa kuna maisha kidogo yalikua tofauti, Wife alikua ananiambia vitu vingi na vinatokea, Mala nyingi akisema jambo na likatokea, Mfano nakumbuka alishanifanyia matukio mawili ndani ya siku 1, Siku hiyo alikua na mimba ya miezi kama minne nmetoka nampeleka pharmacy akanambia tu kiutani anatamani kuokota hela.
Basi nikawa namcheka tu nikapuuzia, tulipo kua tukirejea toka Pharmacy akanambia kachoka hawezi tembea nikaita Tax, wakati nakaribia kwenye Tax alinionyesha kibunda Kikiwa chini usawa mlango wa gari, akakiokota ilikua ni laki8, nilipata mshangao akacheka alafu hakusema kitu.
Tulipofika home alikuja rafiki yake kumuona, banda ya stori kadhaa akamwambia, leo atakama unaharaka vipi usipande bodaboda, akapuuzia alipokua akiondoka akadai kachelewa akaita boda, azikupita dakika 10 tunapigiwa simu wamedondoka kaumia vibaya.
Akawa ni mtu wa aina hiyo lakini lile tatzo lakukabwa halikuisha, Shida nyingine ikaja ata nikitongoza demu popote atajua hiyo kitu nayo imekua ikinivuruga sana.
Kuna sheikh mmoja yupo Ilala anaitwa sheikh Khalfan sikumoja baada ya dua alinambia tatzo la huyu jini wa mkeo ukisema uingize pesa yako kumtibu mkeo anakufungia kila kitu utaishiwa utakosa mpaka hela ya maji ya kunywa,
Na nikweli nakumbuka nimesha mpeleka wife kwingi nikifanya kutafuta tiba, basi nitapoteza kilakitu, yaani taishiwa na kazi tapoteza kabisa, Sasa ndugu zangu inawezekanaje kumuacha mwenzio akiugua kwa kuhofia hayo, Tatzo la hii michezo sio kama anakua kichaa au vipi hapana.
Ili niishiwe pesa tu naweza pata series ya wagonjwa, ndani ya mwezi mzima akaugua yeye, akaugua mama nyumbani wakawa wapokezana, ni mwendo wa hospital tu, imekua hivyo kwa muda sana.
.. Naomba niishie hapa kwa sasa, kwa mwenye uwezo au kujua wapi naweza pata njia ya kweli ya kutatua hili karibuni.
Mtafute huyo mwambia Ni mtumishi wa Mungu atakusaidia 0784306452Naitwa Ododi 35yrs Mkazi wa Kimara Korogwe. Nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 6 nimebahatika kupata mtoto 1 ambae anafikisha mwaka mmoja tangu kuzaliwa na kuja kwenye hii dunia yetu ukiachana na wengine 7 ambao wapo kwenye ulimwengu mwingine.