Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Mkuu,
Kwanza pole sana.
Tatizo lako ulikuwa unaenda kwa masheikh feki, hao ndio wamejaa sasa hivi, na ndio maana umezunguka sana sababu hao wote walikuwa wanakulia pesa zako.
Chakufanya:
1. Nenda Magomeni Mapipa Mtaa wa Mburahati muulizie Sheikh Yusuf Kidago, huyu ni Sheikh wa Twarika, ukifanikiwa kumpata nina imani M/Mungu atakuondoshea tatizo lako.. Huyu sheikh hawezi kukuchaji hata senti..
Au
2. Nenda Mbagala, panda basi la Mkuranga then shuka kituo cha Dundani kwa Mwarabu. Ukishuka ulizia kwa Sheikh wapi? Utaelekezwa.. Huyu sheikh hataki pesa kabisa..
Hawa wote niliokuelekeza ni masheikh na sio waganga ila M/Mungu amewajaalia karama za kutibu matatizo ya kiroho.
Hitimisho:
Mitihani hutoa M/Mungu na hakuna awezaye kuiondosha mpaka yeye atake, hakuna binadamu anayeweza kukutibu kama M/Mungu bado hajataka upone, nenda kwa hao masheikh wakambembeleze M/Mungu kwa jina lake yeye muumba pekee na sio jina la kiumbe/binadamu yeyote.
Mtihani usije ukakuingiza kwenye kumkufuru na kumshirikisha M/Mungu.. Endelea kuwa na Subra hakika M/Mungu atakusaidia.
Amin..