Nawezaje Kulinda kura ya Urais ambayo siwezi kuikatia rufaa Mahakama yoyote?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam,

Kuna kundi la matapeli wanazunguka mtaani kuuhadaa umma kwamba tulinnde kura zetu, wengine wanatubembeleza tukapige kura ilhal wamebeba kura fake kwenye mabegi yao mgongoni!

Hivi nikiilinda kura ya Urais kituoni, nawezaje Kulinda inapojumuishwa huko makao makuu?

Na nisiporidhika na matokeo yake, iwapo katiba na Tume iliyopo hainipi mamlaka ya kudai haki YANGU hiyo Mahakama yoyote, nipige kura Ili iweje?

Mwalimu Nyerere: Mtu akikuambia upumbavu na akijua unajua asemacho ni upumbavu, mtu huyo anakudharau.

Askofu Bagonza: Njia pekee ya kulinda kura yako, ni kubaki nayo.

Nakubaliana naye kwa 100%..

Bila kufanya reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi, uchaguzi batili UTAYEYUKA.

NRNE 💪 🔥

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni
 
Mtu mmoja tu ambaye ni marehemu kwa sasa,

Aliitwa Jecha,

Alitoa tamko na kufuta uchaguzi wote na ikawezekana.

Hivi upige kura Ili iweje, na kwanini uruhusu uchaguzi batili wa maigizo kufanyika?

NRNE 💪 🔥
 
Screenshot_20250714-121617~2.png
 
Mtu mmoja tu ambaye ni marehemu kwa sasa,

Aliitwa Jecha,

Alitoa tamko na kufuta uchaguzi wote na ikawezekana.

Hivi upige kura Ili iweje, na kwanini uruhusu uchaguzi batili wa maigizo kufanyika?

NRNE 💪 🔥
Na hapo ndio uaminifu kwa ndugu zito kabwe unapotiliwa shaka na jamii
 
Hahaha mliambiwa kuilinda kura yako ni kubaki nayo mwenyewe.

Kaa nyumbani tulia.
No,

SI kubaki nayo pekee,

Ni kuhakikisha pia kuwa, uchaguzi batili wa maigizo UNAYEYUKA!

NRNE 💪 🔥
 
Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (National Elections Act), Sura ya 343
Baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza matokeo, mtu au chama cha siasa kinaweza kupinga matokeo mahakamani kwa njia ya election petition (pingamizi la uchaguzi).
Kifungu muhimu:

  • Kifungu cha 108 (Section 108) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (The National Elections Act, Cap. 343)

Maelezo ya kifungu cha 108:
Baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa rasmi na Tume, mgombea yeyote au mpiga kura ambaye ana sababu ya msingi anaweza kuwasilisha pingamizi la uchaguzi (election petition) katika Mahakama Kuu ndani ya siku 30 tangu kutangazwa kwa matokeo hayo
 
Kura ya Urais?
 
Haifanyi kazi kwa matokeo ya urais.

Na ndio maana katiba hii mama Abdul anaiita kijitabu.
 
Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (The National Elections Act), Sura ya 343
Kifungu cha 41(7)

Baada ya Tume kumtangaza mgombea wa nafasi ya Rais kuwa amechaguliwa, uamuzi huo utakuwa wa mwisho na hauwezi kupingwa mahakamani au katika chombo chochote cha kisheria.
 
Kumbe hukuielewa mada
 
Eh hii ndio yenyewe sasa , ndio maana reforms zinahitajika maana mtu akijichagua gizani kama alivyojipitisha Samia mwezi January tutajuaje kuna uhalali.?

Mimi nikimsikia mpuuzi anasema eti katiba ya Kenya si bora bali ni mbaya kuliko ya Tanzania huwa namshangaa.

Act No. 36 of 2016, s. 19.]77. Service of petition(1) A petition concerning an election, other than a presidential election, shallbe filed within twenty-eight days after the declaration of the election results by theCommission.(2) A petition may be served personally upon a respondent or by advertisementin a newspaper with national circulation.

Hapo petition ya matokeo ya uchaguzi wa urais imepewa exception maana hufanyika siku 7 tangu matokeo ya urais kutangazwa na hearing inatakiwa iwe ndani ya siku 14.
 
Back
Top Bottom