Shida yako unaelewa ninapoandika siasa,Noma
Ujinga ni wakati wa kwenda tu SI wakati wa kurudi.Wote tunajua kua zito ni tapeli la siasa, Bola Mbowe ni dalali la siasa ila zito ni TAPELI
NRNE 💪 🔥Mahakama ni moja NRNE
Na hapo ndio uaminifu kwa ndugu zito kabwe unapotiliwa shaka na jamiiMtu mmoja tu ambaye ni marehemu kwa sasa,
Aliitwa Jecha,
Alitoa tamko na kufuta uchaguzi wote na ikawezekana.
Hivi upige kura Ili iweje, na kwanini uruhusu uchaguzi batili wa maigizo kufanyika?
NRNE 💪 🔥
Na hukumu ya msaliti huwa ni mojaNa hapo ndio uaminifu kwa ndugu zito kabwe unapotiliwa shaka na jamii
No,Hahaha mliambiwa kuilinda kura yako ni kubaki nayo mwenyewe.
Kaa nyumbani tulia.
Muhimu hapo SI kuwasha taa chumbani,
Kura ya Urais?Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (National Elections Act), Sura ya 343
Baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza matokeo, mtu au chama cha siasa kinaweza kupinga matokeo mahakamani kwa njia ya election petition (pingamizi la uchaguzi).
Kifungu muhimu:
- Kifungu cha 108 (Section 108) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (The National Elections Act, Cap. 343)
Maelezo ya kifungu cha 108:
Baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa rasmi na Tume, mgombea yeyote au mpiga kura ambaye ana sababu ya msingi anaweza kuwasilisha pingamizi la uchaguzi (election petition) katika Mahakama Kuu ndani ya siku 30 tangu kutangazwa kwa matokeo hayo
Haifanyi kazi kwa matokeo ya urais.Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (National Elections Act), Sura ya 343
Baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza matokeo, mtu au chama cha siasa kinaweza kupinga matokeo mahakamani kwa njia ya election petition (pingamizi la uchaguzi).
Kifungu muhimu:
- Kifungu cha 108 (Section 108) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (The National Elections Act, Cap. 343)
Maelezo ya kifungu cha 108:
Baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa rasmi na Tume, mgombea yeyote au mpiga kura ambaye ana sababu ya msingi anaweza kuwasilisha pingamizi la uchaguzi (election petition) katika Mahakama Kuu ndani ya siku 30 tangu kutangazwa kwa matokeo hayo
Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (The National Elections Act), Sura ya 343Haifanyi kazi kwa matokeo ya urais.
Na ndio maana katiba hii mama Abdul anaiita kijitabu.
Kumbe hukuielewa madaSheria ya Taifa ya Uchaguzi (The National Elections Act), Sura ya 343
Kifungu cha 41(7)
Baada ya Tume kumtangaza mgombea wa nafasi ya Rais kuwa amechaguliwa, uamuzi huo utakuwa wa mwisho na hauwezi kupingwa mahakamani au katika chombo chochote cha kisheria.
Eh hii ndio yenyewe sasa , ndio maana reforms zinahitajika maana mtu akijichagua gizani kama alivyojipitisha Samia mwezi January tutajuaje kuna uhalali.?Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (The National Elections Act), Sura ya 343
Kifungu cha 41(7)
Baada ya Tume kumtangaza mgombea wa nafasi ya Rais kuwa amechaguliwa, uamuzi huo utakuwa wa mwisho na hauwezi kupingwa mahakamani au katika chombo chochote cha kisheria.