Nawezaje kumwachisha mtoto kunyonya kidole?

Ungemuwahi tangu mchanga ukamvalisha soksi za mikono, angelia weeeh lakini angezoea na kuacha,

Na sasa hujachelewa, muweke plasta,

Sio kweli kua ataacha mwenyewe kwa sasa labda akishakua mkubwa level ya sekondari, lakini mtoto kunyonya kidole anakua mzembe sana wala sio poa.
 
Mtoto wangu ana miaka mitano na pointi lakini bado ana nyonya kidole. Nilitumia Kila njia nimefeli . Sasa nimebaki namcheki tu nikiamini ataacha mwenyewe.
 
muache tuu, ataacha mwenyewe kwa aibu.....huwa ndio burudani yake....
 
Me ka kwangu kaliacha tu kenyewe automatically.
 
Mpake upupu hatonyonya hata maziwa yko tena
 
Usikubali kumfanyia mtoto wako mbinu za kinyama kama watu wanavyokushauri. Mwache ataacha mwenyewe baada ya kukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…