Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwanangu aligoma kuvinyonys hivyoHuo umri muache tu aendelee kunyonya kidole, ndio muda wake wa kuenjoy hiyo kitu,
Kama issue ni ukucha kuharibika basi mnunulie vile viplastiki sijui vinaitwaje ambavyo watoto hunyonya ili asinyonye kidole.
Kwani kuna tatizo mtoto akinyonya kidole?Ni katoto ka mwaka mmoja na miezi kama mitatu hivi.
Kakiwa na usingizi tu basi ni lazima kanyonye kidole chake ndo kanalala vizuri, ukijaribu kukatoa tu anaamka na ugomvi (kilio) unakuwa mkubwa.
Hadi awe amelala sana (fofofo) ndo unaweza ukamtoa. Hii tabia imekuwa sugu hadi ukucha wa kidoleni unaanza kuharibika jambo ambalo si jema.
Mbinu gani nitumie wadau kumtoa huyu katika janga hili?