Nawezaje kununua Hisa za makampuni ya nje ya nchi?

IQ OPTION ni world wide haina restriction kwa tanzania. Unaweza kutrade stocks, commodities, crypto na fx. Nimeitumia sana kipindi cha nyuma kwenye binary option. Apo ipo playstoe hawana mambo mengi hawa jamaa, deposit ni simple tu unatumia mastercard, skrill, visa. Na kuwithdraw unaweza kutoa kwa visa, mastercard au skrill.
 
Kuna brokers wanawezesha kununua hizo hisa.

Mfano Interactive Brokers unaweza nunua hata hisa za kampuni yeyote duniani.

Achana na kununua tu, unaweza wekeza kwenye ETFs, Mutual Funds, Indices. Waweza trade Options, Stocks, Forex, Futures etc.

They are the largest stock brokers in the world.

Their commision is very small.
Naomba link mkuu
 
True 100%
 
Mkuu vipi kwa sasa bado unaitumia?
 
Ukitaka kupata faida nzuri kwenye stock markets ni lazima uwe na mtaji usiopungua $10k. STocks nzuri zinaanzia $10, mfano AAL(AMERICA AIRLINES, PARKING HOTEL).
 
Hisa za makampuni ya nje ni gharama sana, sio mtu Una ka 15 million unataka kununua hisa USA hiwezi labda nchi ya kina kambole. hizo company hapo unakuta hisa moja ni $-100,000/=. Ukiikonvert kwene karatasi zetu za kuchambia inazidi million 200 na kidogo.
Acha uongo wewe! Hakuna hisa ya USD 100k. Hiyo kampuni itakuwa na market cap ya dola ngapi kama hisa moja inauzwa 100k? Msiwe mnarukia mambo msiyoyajua.
 
Ni vigumu sana kwa raia wa Tanzania aliye Tanzania kununua hisa za makampuni ya nchi za nje bila kuvunja sheria.

Sheria zetu nyingi zimekaa kumuhukumu mtu huyo kama mhujumu wa uchumi wa Tanzania anayetaka kutorosha hela za kigeni kutoka Tanzania kwenda nje.
Tupige magoti tumuombe MUNGU labda mambo yanaweza badilika.
 
Kuna brokers wanawezesha kununua hizo hisa.

Mfano Interactive Brokers unaweza nunua hata hisa za kampuni yeyote duniani.

Achana na kununua tu, unaweza wekeza kwenye ETFs, Mutual Funds, Indices. Waweza trade Options, Stocks, Forex, Futures etc.

They are the largest stock brokers in the world.

Their commision is very small.
Nimejaribu kuwatafuta sijaona email address yao!!!
 
Tesla Before
IMG_2893.png

Tesla after 6 hrs (Ningejua ningenunua [emoji51])
IMG_2894.png

Nimekuja kununua ikiwa $177, hope itapanda. Platform niliyotumia ni Fidelity Investments.
 
Sio brokers wote wanaruhusu watanzania kufungua account kwao.

As of now,

Interactive brokers na Tradestation pekee ndo wanaruhusu watanzania kufungua account kwao.

TD Ameritrade walikuwa wanaruhusu kipindi cha nyuma ila sasa wamepigwa pini na BOT.
Tradestation kwenye kujisajili kipengele cha PROOF OF ADDRESS unatumia document gani? Maana hizi utility bills nalipia kwa mitandao ya simu so hazina residential address. Bank statement nayo haina. Msaada tafadhali.
 
Hata mimi hicho kipengele huwa kinanishinda
 
Back
Top Bottom