Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukienda kwenye setting kuna sehemu ya kuweka VPN details ndo utumie na Kuna VPN nyengine zinakuwa ni application hauna haja ya kwenda kuset kwenye setting one click umemaliza.
Hapana si hivyo ni kwamba haufanyi import yani hutumii app bali kule kwenye setting unaset manual.Au unazungumzia kutengeneza files ambazo ukizi ‘import’ kwenye App unaendelea kuserereka na bando la bure?
Ukinijibu nitajua nianzie wapi.
Ahsante mkuu kwa jibu murua.Unaweza ukatumia app za kucapture packets, sema issue moja kwenye Android hizi apps nazo ni vpn huwezi tumia vpn mbili kwa mpigo.
Hapo itabidi utumie software za pc kama wireshark, uhakikishe pc na simu zipo kwenye same network na kucapture hizo packets, utaona server ya vpn, kama kuna Custom header na mambo mengine.