Nawezaje kuona setting za VPN apps Kama manual VPN..?

Nawezaje kuona setting za VPN apps Kama manual VPN..?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Mfano unatumia vpn app ambayo unabofya tu inajikonekti yenyewe,Sasa je Kuna namna ipi naweza pata data za hiyohiyo app na nikaziset mwenyewe manually..??

Msaada tafadhari.
 
Nunua Bundle Mkuu Acha Kutafuta Mserereko
 
Au unazungumzia kutengeneza files ambazo ukizi ‘import’ kwenye App unaendelea kuserereka na bando la bure?

Ukinijibu nitajua nianzie wapi.
 
Hebu tupe kwanza Elimu ya Manual VPN ipoje ipoje tofauti na Apps

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukienda kwenye setting kuna sehemu ya kuweka VPN details ndo utumie na Kuna VPN nyengine zinakuwa ni application hauna haja ya kwenda kuset kwenye setting one click umemaliza.

So ndo nataka kujua mfano orbot VPN unaweza kupata zile details zake ukazijaza pasipo kutumia app so unafanyaje hicho ndo nachotaka kujua!.
 
Au unazungumzia kutengeneza files ambazo ukizi ‘import’ kwenye App unaendelea kuserereka na bando la bure?

Ukinijibu nitajua nianzie wapi.
Hapana si hivyo ni kwamba haufanyi import yani hutumii app bali kule kwenye setting unaset manual.
 
Unaweza ukatumia app za kucapture packets, sema issue moja kwenye Android hizi apps nazo ni vpn huwezi tumia vpn mbili kwa mpigo.

Hapo itabidi utumie software za pc kama wireshark, uhakikishe pc na simu zipo kwenye same network na kucapture hizo packets, utaona server ya vpn, kama kuna Custom header na mambo mengine.
 
Ahsante mkuu kwa jibu murua.
 
Back
Top Bottom