Tumia
Magic shave na mafuta ya nazi unapakaa kwenye kifua na kwenye makalio
Halafu unapaka sabuni mwili mzima hadi usoni
Unamuita mtu yoyote aliyekaribu aje akumwagie maji humo bafuni
Trust me
Tatizo litakua limeisha😁
Pitisha lile dude la kukatia maua
Sawa love, bc teremka hapo pm kuna namba yanguSlow slow mbele kuna mteremko mkali 😹😹
😹😹😹 au sio simple km unarikwesti UberSawa love, bc teremka hapo pm kuna namba yangu
Namba tuu jaman😹😹😹 au sio simple km unarikwesti Uber
Km namba tu si uchukue kwenye NIDA yako 😹😹😹Namba tuu jaman
Khaaaah!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumia
Magic shave na mafuta ya nazi unapakaa kwenye kifua na kwenye makalio
Halafu unapaka sabuni mwili mzima hadi usoni
Unamuita mtu yoyote aliyekaribu aje akumwagie maji humo bafuni
Trust me
Tatizo litakua limeisha[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utafikir kichwa cha mtoto anayeanza kuota nywele
chukua dawa ya nywele ya mkeo paka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaniii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zinatia kinyaa ni sawa na wale unakuta anatuvinyweleo miguuni tumekuwa kama tumejivilingisha kipipili ovyo ovyo tumeachan na anavaa bukuta au kuacha ka kifua wazi tumiguu twembamba
Chini ya kitovu hii, karibu na kinenaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo picha haioneshi kama ni kifua, yani mi naona kitu kingine.....au macho yananidanganya
Hebu muuganishe na huyu OP, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eva vp imekupa genye, maana nyie wanawake mna mambo ya ajabu. Kuna manzi mmoja aliwah nambia mbona garden love yako sio kipilipili, eti yeye anapenda zenye kipilipili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na usivyo na ndevu basi ulikuwa pisi kali kuliko demu wako[emoji38][emoji38]
Huyu kijana ana effort sana, atakuja kukutafuna siku moja, hahaSlow slow mbele kuna mteremko mkali 😹😹
Duh!Kama nzi wanajipatia mlo.Wakuu salaam.
Aisee Nina changamoto ya kuwa na garden Love Mbaya kuliko zote ambazo zinapatikana hapa Dunia hii.
Kama Kuna mtu anaweza jua namna ya kuzifanya angalau ziwe vizuri msaada.
Kama nikuzinyonyoa nishazinyoa lakini zikiota zinakuwa kama mwanzo.
Garden Love kama mkutuno wa sisimizi!!! Picha chini.
View attachment 3039845
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni chizi ujue, khaaahNaogopa aiseee.!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Kuna siku hun wangu hakupitisha topaz, shanga si zikakamata vuzi alipiga ukunga nusu anizabue kofi… sasa awe na hiyo minyoya kifuani si ataniua [emoji1787][emoji1787]
Tumia Mafuta ya alizeti😄Wakuu salaam.
Aisee Nina changamoto ya kuwa na garden Love Mbaya kuliko zote ambazo zinapatikana hapa Dunia hii.
Kama Kuna mtu anaweza jua namna ya kuzifanya angalau ziwe vizuri msaada.
Kama nikuzinyonyoa nishazinyoa lakini zikiota zinakuwa kama mwanzo.
Garden Love kama mkutuno wa sisimizi!!! Picha chini.
View attachment 3039845
Mwanao akikuona anajua binadam kweli asili yake ni nyani !Wakuu salaam.
Aisee Nina changamoto ya kuwa na garden Love Mbaya kuliko zote ambazo zinapatikana hapa Dunia hii.
Kama Kuna mtu anaweza jua namna ya kuzifanya angalau ziwe vizuri msaada.
Kama nikuzinyonyoa nishazinyoa lakini zikiota zinakuwa kama mwanzo.
Garden Love kama mkutuno wa sisimizi!!! Picha chini.
View attachment 3039845
Huyu hajui kuwa unazitoaga na ulimi?Uko wapi.....