Nawezaje kuondoa Garden Love Mbaya?

Nawezaje kuondoa Garden Love Mbaya?

soon utaomba ushauri kunyoa zile zetu marijali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kweli fanya uzitengeneze zikae vyedii, maana km kikao cha Nzi. Lol
 
Tumia
Magic shave na mafuta ya nazi unapakaa kwenye kifua na kwenye makalio
Halafu unapaka sabuni mwili mzima hadi usoni
Unamuita mtu yoyote aliyekaribu aje akumwagie maji humo bafuni
Trust me
Tatizo litakua limeisha[emoji16]
Khaaaah!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
utafikir kichwa cha mtoto anayeanza kuota nywele
chukua dawa ya nywele ya mkeo paka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zinatia kinyaa ni sawa na wale unakuta anatuvinyweleo miguuni tumekuwa kama tumejivilingisha kipipili ovyo ovyo tumeachan na anavaa bukuta au kuacha ka kifua wazi tumiguu twembamba
Jamaniii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eva vp imekupa genye, maana nyie wanawake mna mambo ya ajabu. Kuna manzi mmoja aliwah nambia mbona garden love yako sio kipilipili, eti yeye anapenda zenye kipilipili
Hebu muuganishe na huyu OP, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu salaam.

Aisee Nina changamoto ya kuwa na garden Love Mbaya kuliko zote ambazo zinapatikana hapa Dunia hii.
Kama Kuna mtu anaweza jua namna ya kuzifanya angalau ziwe vizuri msaada.

Kama nikuzinyonyoa nishazinyoa lakini zikiota zinakuwa kama mwanzo.

Garden Love kama mkutuno wa sisimizi!!! Picha chini.

View attachment 3039845
Duh!Kama nzi wanajipatia mlo.
 
Naogopa aiseee.!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Kuna siku hun wangu hakupitisha topaz, shanga si zikakamata vuzi alipiga ukunga nusu anizabue kofi… sasa awe na hiyo minyoya kifuani si ataniua [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni chizi ujue, khaaah
 
Wakuu salaam.

Aisee Nina changamoto ya kuwa na garden Love Mbaya kuliko zote ambazo zinapatikana hapa Dunia hii.
Kama Kuna mtu anaweza jua namna ya kuzifanya angalau ziwe vizuri msaada.

Kama nikuzinyonyoa nishazinyoa lakini zikiota zinakuwa kama mwanzo.

Garden Love kama mkutuno wa sisimizi!!! Picha chini.

View attachment 3039845
Tumia Mafuta ya alizeti😄
 
Mwanao akikuona anajua binadam kweli asili yake ni nyani !
Yakate hayo afu yanamaliza sabuni kishenz maana yako kama steel wire
 
Back
Top Bottom