Nawezaje kupata self confidence?

Nawezaje kupata self confidence?

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,080
Reaction score
2,871
Habari ya Jumapili,

Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya ila kama una changamoto za kiafya, kielimu, kiuchumi. Basi nakuombea uweze kutatua hiyo changamoto.

Kwa upande wangu mimi ni kijana wa umri miaka 23, lakini nina changamoto kubwa haswa katika masuala ya kujieleza mbele za haswa katika presentations za chuo, yaani hata nikipata ikija zamu yangu kuweza kuongea mapigo ya moyo yanaenda kasi, pressure inapanda, mikono, miguu yote inatetemeka.

Yaani, kiufupi naomba msaada jinsi ya kulitatua hili tatizo linanitesa mno na nina ndoto ya kuwa kiongozi mkubwa wa Taifa hili.
 
Siyo lazima uwe na self confiidence ili maisha yaende. Unatakiwa ufanye unachopanga kufanya bila kujali unajiamini au hujiamini.

Usiogope kukosea, fanya maisha yako yawe ni mtiririko wa matendo kuliko maneno.

Tenda hivyo hivyo bila hiyo self confidence utajikuta unayo.
 
Sema mkuu Kwenye presentation wenzangu,wanapata 5/5,mi napata 2.5/5marks...
 
Habri ya Jumapili,

Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya ila kama unachangamoto za kiafya, kielimu, kiuchumi. Basi nakuombea uweze kutatua hiyo changamoto.

Kwa upande wangu mimi ni kijana wa umri miaka 23, lakini nina changamoto kubwa haswa katika masuala ya kujieleza mbele za haswa katika presentations za chuo, yaani hata nikipata ikija zamu yangu kuweza kuongea mapigo ya moyo yanaenda kasi, pressure inapanda, mikono, miguu yote inatetemeka.

Yaani, kiufupi naomba msaada jinsi ya kulitatua hili tatizo linanitesa mno na nina ndoto ya kuwa kiongozi mkubwa wa Taifa hili.
Self confidence ni practice, nilikuwa kama wewe, lakini nikaanza kuwa nachangia mada kwenye vikundi, pia nikawa napewa vipindi church, nikaanza kuzoea, hata nilipoenda interview nilijikuta Nina overconfidence.
 
Hata kutoa kishirikishi church..shida...huhuhhhh,juzi tu nilienda kanisa la TAG nikaambiwa kuna mgeni hapa ..nikawa natetemeka
 
1. Anza kujenga mazoea ya kuchangia kwenye group discussions,hii itakupa ujuzi na ujasiri wa kupangilia hoja zako mbele za watu

2. Usiogope kukosea,weka akilini kwamba kukosea ni sehemu ya kujifunza na ukubali kurekebishwa unapokosea

3. Hudhuria semina tofauti tofauti,hii itakusaidia kuona namna watu wanavyojielezea

4. Ukisimama mbele pale kuanza kujielezea/kupresent muangalie yule mtu ambaye umemzoea sana,hii inaweza kukusaidia kujiamini kipindi unaongea
Ama unaweza kuangalia kiti cha mwisho kabisa pale darasani

5. Jiamini
 
Haha hii hali ilinitesa sana aisee hasa Advance level ile shule walikuwa wanaendekeza PRESENTATION kama chakura ila huwezi amini nilivyokuwa na level ya uwoga nilifanikiwa kumaliza shule bila ku-present kwa kukimbia kwangu presentation.

Kwenye kujiunga na chuo nilikuwa nawaza sana siku nikiwa presentation sinitakufa nikiangalia ile mi-thieta roon mikubwa na imagine nakaa mbele aisee ila Mwaka wa kwanza wote siku present kilichonisaidia kunipa Confidence kidogo TP kwenda kufundisha Field ndio ikanipa viConfidence kufanyiwa Accessment...tulivyorudi mwaka wa pili tukawa na presentation moja group letu la kwanza tukala presenatation niliPresent sio vizuri sana ila aleast nilikuw na confidence sauti inasikia skqepeshi macho.

Fanya mambo haya ndio yatakupa Confidence
1)Soma vitabu vya Isparation/Self development hata vitano
2)Kuwa na Content na kile unachoenda kukiwasilisha soma in deep kidogo.

3)Kuwa Cool siku ya tukio itakutoa kwenye pressure fanya kama hakuna kitu kinaenda fanyika (Hii nji nzuri sana).

4)Tumia dakika tatu za mwanzo vizuri pale uwe Overconfidence baada ya hapo hata uwasilishe lisaa utaflow tu.

5)Kama upo serious sana tafuta hata shule uombe kufundisha hata kwa Week au mwezi.
 
Umebarikiwe ipo siku,nami nitapata confidence na kuleta mrejesho hapa
 
Sawa nitajaribu.Asante sana
 
Habri ya Jumapili,

Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya ila kama unachangamoto za kiafya, kielimu, kiuchumi. Basi nakuombea uweze kutatua hiyo changamoto.

Kwa upande wangu mimi ni kijana wa umri miaka 23, lakini nina changamoto kubwa haswa katika masuala ya kujieleza mbele za haswa katika presentations za chuo, yaani hata nikipata ikija zamu yangu kuweza kuongea mapigo ya moyo yanaenda kasi, pressure inapanda, mikono, miguu yote inatetemeka.

Yaani, kiufupi naomba msaada jinsi ya kulitatua hili tatizo linanitesa mno na nina ndoto ya kuwa kiongozi mkubwa wa Taifa hili.
Self confidence inakuja Kwa baada ya kuwa mzoefu. Mfano ukifanya presentation utakosea baadae utakuja kuona kawaida tuu
 
Habri ya Jumapili,

Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya ila kama unachangamoto za kiafya, kielimu, kiuchumi. Basi nakuombea uweze kutatua hiyo changamoto.

Kwa upande wangu mimi ni kijana wa umri miaka 23, lakini nina changamoto kubwa haswa katika masuala ya kujieleza mbele za haswa katika presentations za chuo, yaani hata nikipata ikija zamu yangu kuweza kuongea mapigo ya moyo yanaenda kasi, pressure inapanda, mikono, miguu yote inatetemeka.

Yaani, kiufupi naomba msaada jinsi ya kulitatua hili tatizo linanitesa mno na nina ndoto ya kuwa kiongozi mkubwa wa Taifa hili.
Mkuu,
kwanza hilo sio tatizo,hio ni normal reaction ya mwili katika hali ambayo inakufanya uhisi hatari.Kwa kiwango kikubwa unakuwa hujajianda vizuri na na hio ndio sababu kubwa.Ninaposema ujiandae vizuri namaanisha ujiandae kuwa utasema nini.Utaanza na nini,utamalizia na nini na Main point yako nini.
Nina mtu ambaya anafanya coaching ya Public Speaking and Presentation skills ambaye huwa ananisaidia hata mimi.Kama unahitaji msaada na upo tayari kulipia huduma hio tafadhali wasiliana nami nikuunganishe naye.ILA JAMBO LA MSINGI NI KUJUA KWAMBA PREPARATION IS THE KEY.
 
Jua kiingereza. Na kwa mwanamke kuwa na makalio makubwa.
 
Huyo
Mkuu,
kwanza hilo sio tatizo,hio ni normal reaction ya mwili katika hali ambayo inakufanya uhisi hatari.Kwa kiwango kikubwa unakuwa hujajianda vizuri na na hio ndio sababu kubwa.Ninaposema ujiandae vizuri namaanisha ujiandae kuwa utasema nini.Utaanza na nini,utamalizia na nini na Main point yako nini.
Nina mtu ambaya anafanya coaching ya Public Speaking and Presentation skills ambaye huwa ananisaidia hata mimi.Kama unahitaji msaada na upo tayari kulipia huduma hio tafadhali wasiliana nami nikuunganishe naye.ILA JAMBO LA MSINGI NI KUJUA KWAMBA PREPARATION IS THE KEY.
Huyo jamaa yupo wapi anafanya session ya kuzungumza mbele za watu nahitaji hiyo huduma.
 
Back
Top Bottom