Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Yupo Dar es Salaam,Huwa anafanya Kazi mikoa ya Arusha na Dodoma.Huyo
Huyo jamaa yupo wapi anafanya session ya kuzungumza mbele za watu nahitaji hiyo huduma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo Dar es Salaam,Huwa anafanya Kazi mikoa ya Arusha na Dodoma.Huyo
Huyo jamaa yupo wapi anafanya session ya kuzungumza mbele za watu nahitaji hiyo huduma.
Session za presentation anafanya maana ndio nahitaji.Yupo Dar es Salaam,Huwa anafanya Kazi mikoa ya Arusha na Dodoma.
NI Combined,Private session na Group SessionsSession za presentation anafanya maana ndio nahitaji.
Nitakucheki.NI Combined,Private session na Group Sessions
Ushauri mfuJua kiingereza. Na kwa mwanamke kuwa na makalio makubwa.
1. Anza kujenga mazoea ya kuchangia kwenye group discussions,hii itakupa ujuzi na ujasiri wa kupangilia hoja zako mbele za watu
2. Usiogope kukosea,weka akilini kwamba kukosea ni sehemu ya kujifunza na ukubali kurekebishwa unapokosea
3. Hudhuria semina tofauti tofauti,hii itakusaidia kuona namna watu wanavyojielezea
4. Ukisimama mbele pale kuanza kujielezea/kupresent muangalie yule mtu ambaye umemzoea sana,hii inaweza kukusaidia kujiamini kipindi unaongea
Ama unaweza kuangalia kiti cha mwisho kabisa pale darasani
5. Jiamini
Many thanks for you're detailed explanation
Nyongeza kidogo.
Hana haja ya kuhofia chochote maana uoga haumuongezei point yoyote sana sana kufanya aonekane hana uwezo.
Kama kuogopa, kubabaika, kutetetemeka haiboreshi isipokuwa inakubomoa kwanini uhofie?
Yeye ajiandae, ajiamini na aeleze kwa kadri anavojuwa yeye kwa dhati ya akili yake inavomtuma asifikirie waliombele yake eti wao ni bora. Yeye ajiamini kwamba ndio bora.
Hakuna adhabu wala kutukanwa
Kuchekwa na kuchekesha Nisehem kamili ya maisha kwa binadamu. ... wanapocheka Yeye azidishe kujituma katika maelezo yake asimamie anachokiamini daima.
mimi nilikuwa zaidi. Ila siku hizi nikipanga hoja vizuri kichwani na kuzizungushia quotes powerful hata kama nikiwa nimekaa mchanganyikoni nahamishwiwa high table hata kama sifahamiki.Self confidence ni practice, nilikuwa kama wewe, lakini nikaanza kuwa nachangia mada kwenye vikundi, pia nikawa napewa vipindi church, nikaanza kuzoea, hata nilipoenda interview nilijikuta Nina overconfidence.
mwanamke mwenye makalio makubwa bongo ana confidence kuliko miphd holdersUshauri mfu
Uliipataje hiyo confidence?mimi nilikuwa zaidi. Ila siku hizi nikipanga hoja vizuri kichwani na kuzizungushia quotes powerful hata kama nikiwa nimekaa mchanganyikoni nahamishwiwa high table hata kama sifahamiki.
Mfano mzuri jana tu, nilijikuta nakula meza moja na mgeni rasmi kanisani wakati hilo eneo na mimi sijulikani.
Ukiona hivyo ni tatizo la kiroho zaidi sio la kimwili km unavyoona!Hata kutoa kishirikishi church..shida...huhuhhhh,juzi tu nilienda kanisa la TAG nikaambiwa kuna mgeni hapa ..nikawa natetemeka
Danga kwa wingi. Confidence itakuja tuAisee.hilo ni tatizo la wengi mkuu!
CS ina mbinu zote.soma vitabu.Habri ya Jumapili,
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya ila kama unachangamoto za kiafya, kielimu, kiuchumi. Basi nakuombea uweze kutatua hiyo changamoto.
Kwa upande wangu mimi ni kijana wa umri miaka 23, lakini nina changamoto kubwa haswa katika masuala ya kujieleza mbele za haswa katika presentations za chuo, yaani hata nikipata ikija zamu yangu kuweza kuongea mapigo ya moyo yanaenda kasi, pressure inapanda, mikono, miguu yote inatetemeka.
Yaani, kiufupi naomba msaada jinsi ya kulitatua hili tatizo linanitesa mno na nina ndoto ya kuwa kiongozi mkubwa wa Taifa hili.
Nyeto nimeacha ila jana nimestua kimoja.Sitaki kuamini kama na mm nilikua Kama wewe nikiwa na umri huo.. Tena chuoni Ila Unajua nn, Unavyovifanya Sasa bado hujaona umuhimu wake.. siku vikiwa vya Muhimu hakuna utakae muwaza wakati unavifanya Tena wakileta fyoko unaweza kutema shombo za mchuzi wa mzoga bila kujali Nani yupo.. na uache nyeto(U need the testosterone drive), know your contents and move intentional Kwenye kila unalofanya..
Nawezaje acha kutetemeka- Dhamiri yako iwe njema muda wote!
- chukulia kwamba upo hapo kujifunza na kwamba kukosea na kukosolewa ni sehemu katika mchakato wa kujifunza.
- chukulia kwamba atakae kucheka au kukudharau itakula kwake sababu hajui mpo hapo kwa dhumuni gani ambalo ni kujifunza
N.k
Nawezaje acha kutetemeka