Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mambo mengine inategemea na malezi na makuzi mtu alopitia.
Kwenye ubongo wa mtu huwa kuna kumbukumbu Nzuri au mbaya kiasi gani?!
Matukio mazuri na mabaya uliwahi kuyaona na kuambiwa n.k
Attachments za kimahusiano tangu ujue mema na mabaya!
Uoga unapokuwa umezidi kiasi cha kutetemeka inabidi kutumia njia nyingi kwa wakati mmoja ili kuondokana na hiyo hali.
Kwa hiyo kutetemeka ni matokeo ya uoga ulokithiri.
Shughulikia namna ya kuondokana na tabia ya uoga hapo utaondokana na kutetemeka.
Njia hizo mojawapo ni:
Kutafuta maarifa mafundisho ya namna ya kufahamu maana ya uoga na madhara yake
Jinsi ya kuacha tabia ya uoga n.k
Maarifa hayo unaweza kuyapata kwa kusoma vitabu
Kujifunza kupitia mafundisho ya Neno la Mungu
Kufanya Tahajudi Yani meditation
Kuwa mkweli na mwaminifu (dhamiri njema) ,
Ukikosea unakiri makosa bila kijihami
Kuwa mwepesi wa kusamehe walokukosea n.k
Pia penda ku google kwa kutafuta kuhusu mfano “How to overcome Fear “ etc