Nawezaje kupata self confidence?

Nawezaje kupata self confidence?

Habari ya Jumapili,

Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya ila kama una changamoto za kiafya, kielimu, kiuchumi. Basi nakuombea uweze kutatua hiyo changamoto.

Kwa upande wangu mimi ni kijana wa umri miaka 23, lakini nina changamoto kubwa haswa katika masuala ya kujieleza mbele za haswa katika presentations za chuo, yaani hata nikipata ikija zamu yangu kuweza kuongea mapigo ya moyo yanaenda kasi, pressure inapanda, mikono, miguu yote inatetemeka.

Yaani, kiufupi naomba msaada jinsi ya kulitatua hili tatizo linanitesa mno na nina ndoto ya kuwa kiongozi mkubwa wa Taifa hili.
Wadau leo naleta baada ya kupitia ushauri wenu leo nimeweza kupresent title japo mikono ilikuwa inatetemeka.lakini angalau kidogo nimeweza.
 
Back
Top Bottom