Nawezaje kupata Tsh. Milioni moja?

Dada yangu pole na hongera kwa kuwa na mawazo + .

Mimi ninashauri tu, hela bwna inapatikana kwa hela mwenzake.

Kama hauna 1000 huwezi kupata 500.
Ili upate hela inabidi uwe na hela ama kitu kinachoweza kulingana na hela.

Kama unatafuta milioni na mazingira ni magumu, tafuta kwanza10000 then hio ikuletee milion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri mzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…