Nawezaje kupata Tsh. Milioni moja?

Nawezaje kupata Tsh. Milioni moja?

Mawazo chanya sana, tuwasiliane pm
Naamini mmeamshwa vyema wakuu.

Niende kwenye mada, nina shida sana na Tsh. Milioni moja, naihitaji kwa ajili ya mtaji, (kuna jiko la kupikia chakula sehemu ya bar nataka kulichukua niweke vijana wapike) nikisema kukopa sina cha kuweka dhamana, ukisema uombe kwa ndugu hamna kila mtu anasema hana.

Nikiwaza maisha ndo hivo yanaenda kasi bila kuwekeza wekeza hufanikiwi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu anzia hapohapo hata kama una elf ishirini. Ilishawahi kunitokea nina 50,000 kwenye account then nina familia nilifikiria sana namna ambavyo naenda kufedheheka. Nilifumba macho nikatumia 20usd (23980tsh) nilipambana hadi kuifikisha 3.9M ndani ya wiki moja. Anything is possible.
NB. huu ni ushuhuda wangu for motivational purposes only na sio kumshawaishi mtu.
 
Duh! Ulipambanaje mkuu kutoka 23980/= mpaka 3.9 mil kwa mda wa wiki moja tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu anzia hapohapo hata kama una elf ishirini. Ilishawahi kunitokea nina 50,000 kwenye account then nina familia nilifikiria sana namna ambavyo naenda kufedheheka. Nilifumba macho nikatumia 20usd (23980tsh) nilipambana hadi kuifikisha 3.9M ndani ya wiki moja. Anything is possible.
NB. huu ni ushuhuda wangu for motivational purposes only na sio kumshawaishi mtu.
Ebu tupe ushuhuda ndugu
 
Tatizo wala sio kupata hio 1 m tatizo ni je una uhakika hio 1m itazaa au itaishia kwenye kukodi hilo jiko kuwalipa vijana ujira wao, kununua matumizi ya siku chache na kuishiwa kuibiwa na hao vijana wako wa kazi...

Watanzania sio waaminifu kabisa bila kuwepo na kukaba mpaka penalty utaambulia kutoa matumizi na kulipa mishahara kutoka kwenye mshahara wako wa kazi nyingine na kutokuona hata chembe ya faida...
Unachokiongea ni kweli uaminifu ni changamoto bila kumbana mtu unaambulia hola kweli, ila hao vijana nilishawahi fanya nao kazi sema tukaja kuacha wote maana mwenye jiko alikua anataka tufanye kazi bure (tusijilipe) tumkuzie Kwanza mtaji wake ukikua ndo tuanze kujilipa, na hapo hapo kazi ni kuanzia saa moja asubuh mpaka saa sita usiku, na bado akila yeye bili halipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu anzia hapohapo hata kama una elf ishirini. Ilishawahi kunitokea nina 50,000 kwenye account then nina familia nilifikiria sana namna ambavyo naenda kufedheheka. Nilifumba macho nikatumia 20usd (23980tsh) nilipambana hadi kuifikisha 3.9M ndani ya wiki moja. Anything is possible.
NB. huu ni ushuhuda wangu for motivational purposes only na sio kumshawaishi mtu.
Mkuu $20 ni karibia 46000 na kitu mbona umeweka 20000?
Au ulitumia $10?
 
Huwezi kukopa.
Huwezi kuomba kwa ndugu.
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ebu tupe ushuhuda ndugu
Capture5.JPG

angalia deposit ni 20usd vs profit na hiyo ni only two days tar 27 hadi 29.
 
Back
Top Bottom