Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitumie namba zako pm
Aise kumbe hii kitu sometimes inakuwa real ee.View attachment 1391256
angalia deposit ni 20usd vs profit na hiyo ni only two days tar 27 hadi 29.
Explain it how ??mkuu anzia hapohapo hata kama una elf ishirini. Ilishawahi kunitokea nina 50,000 kwenye account then nina familia nilifikiria sana namna ambavyo naenda kufedheheka. Nilifumba macho nikatumia 20usd (23980tsh) nilipambana hadi kuifikisha 3.9M ndani ya wiki moja. Anything is possible.
NB. huu ni ushuhuda wangu for motivational purposes only na sio kumshawaishi mtu.
Kwanini watu wanaona kitu hili ni kirahisi.Huwezi kukopa.
Huwezi kuomba kwa ndugu.
[emoji848][emoji848][emoji848]
Asante , kurejesha inakua ndani ya miezi 10, kuhusu kiasi kwa kila mwezi inategemea na riba itakua kiasi gani dada.Nikikupatia mtu wangu wa karibu wa kukupa hio pesa, malipo yatakuaje? Nikimaanisha unategemea kuirudisha ndani ya muda gani? Hats kama in Kwame mafungu, haye mafungu yatakuaje?
Mie in ke na nimeolewa na na sihitaji chochote kutoka kwako zaidi ya kukusaidia, na malipo yawe fedha taslimu na si vinginevyo, ila nahitaji kujua utalipaje nikikudhamini sehemu.
Kurejesha inakua ndani ya miezi 10, kuhusu kiasi kwa kila mwezi inategemea na riba itakua kiasi gani dada.Marejesho yatakuwaje mkuu na ni kwamuda gani?
aiseeMie in ke na nimeolewa na na sihitaji chochote kutoka kwako
Kama unashida na hiyo millioni ni pm ila kweli uwe ni ke na pili shida kweli iwe ni million 1 sio zaidi ya hapo njoo na business plan yako chonde chonde kama ni mke wa mtu hapana siitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu anzia hapohapo hata kama una elf ishirini. Ilishawahi kunitokea nina 50,000 kwenye account then nina familia nilifikiria sana namna ambavyo naenda kufedheheka. Nilifumba macho nikatumia 20usd (23980tsh) nilipambana hadi kuifikisha 3.9M ndani ya wiki moja. Anything is possible.
NB. huu ni ushuhuda wangu for motivational purposes only na sio kumshawaishi mtu.
View attachment 1391256
angalia deposit ni 20usd vs profit na hiyo ni only two days tar 27 hadi 29.
Punguza hasira ndugu mjinga, Pambana na Corona, usioneshe ujinga wako hapaNyie wehu na wajinga sanaaa mnawezaje kuchati kwenye uzi wa mtu namna hii hebu nendeni PM acheni ujinga.
Naona kunamtu ameona wivu tayari sisi kutafutana hapa, nitakuja kwa PM huko
mkuu anzia hapohapo hata kama una elf ishirini. Ilishawahi kunitokea nina 50,000 kwenye account then nina familia nilifikiria sana namna ambavyo naenda kufedheheka. Nilifumba macho nikatumia 20usd (23980tsh) nilipambana hadi kuifikisha 3.9M ndani ya wiki moja. Anything is possible.
NB. huu ni ushuhuda wangu for motivational purposes only na sio kumshawaishi mtu.
Kama unashida na hiyo millioni ni pm ila kweli uwe ni ke na pili shida kweli iwe ni million 1 sio zaidi ya hapo njoo na business plan yako chonde chonde kama ni mke wa mtu hapana siitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu anzia hapohapo hata kama una elf ishirini. Ilishawahi kunitokea nina 50,000 kwenye account then nina familia nilifikiria sana namna ambavyo naenda kufedheheka. Nilifumba macho nikatumia 20usd (23980tsh) nilipambana hadi kuifikisha 3.9M ndani ya wiki moja. Anything is possible.
NB. huu ni ushuhuda wangu for motivational purposes only na sio kumshawaishi mtu.
Nikikupatia mtu wangu wa karibu wa kukupa hio pesa, malipo yatakuaje? Nikimaanisha unategemea kuirudisha ndani ya muda gani? Hats kama in Kwame mafungu, haye mafungu yatakuaje?