Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ninayopata, kuikusanya mpaka ikafike milion itachukua mudaa.Dada yangu pole na hongera kwa kuwa na mawazo + .
Mimi ninashauri tu, hela bwna inapatikana kwa hela mwenzake.
Kama hauna 1000 huwezi kupata 500.
Ili upate hela inabidi uwe na hela ama kitu kinachoweza kulingana na hela.
Kama unatafuta milioni na mazingira ni magumu, tafuta kwanza10000 then hio ikuletee milion
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee una lips nzr!!!Naamini mmeamshwa vyema wakuu.
Niende kwenye mada, nina shida sana na Tsh. Milioni moja, naihitaji kwa ajili ya mtaji, (kuna jiko la kupikia chakula sehemu ya bar nataka kulichukua niweke vijana wapike) nikisema kukopa sina cha kuweka dhamana, ukisema uombe kwa ndugu hamna kila mtu anasema hana.
Nikiwaza maisha ndo hivo yanaenda kasi bila kuwekeza wekeza hufanikiwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unaipata TZS ngapi?Hii ninayopata, kuikusanya mpaka ikafike milion itachukua mudaa.
Asante kwa ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
tupe wote hapa hapaNi PM nikupe mchongo
Eeeh wajuba, wao wanajiita mabaharia. Chombo hichoJamii Forums bhana Eti wakulungwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unashida na hiyo millioni ni pm ila kweli uwe ni ke na pili shida kweli iwe ni million 1 sio zaidi ya hapo njoo na business plan yako chonde chonde kama ni mke wa mtu hapana siitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimae mshindi umepatikanaKama unashida na hiyo millioni ni pm ila kweli uwe ni ke na pili shida kweli iwe ni million 1 sio zaidi ya hapo njoo na business plan yako chonde chonde kama ni mke wa mtu hapana siitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Kama unashida na hiyo millioni ni pm ila kweli uwe ni ke na pili shida kweli iwe ni million 1 sio zaidi ya hapo njoo na business plan yako chonde chonde kama ni mke wa mtu hapana siitaji
Sent using Jamii Forums mobile app