Nawezaje kupata Tsh. Milioni moja?

Nawezaje kupata Tsh. Milioni moja?

Dada yangu pole na hongera kwa kuwa na mawazo + .
Mimi ninashauri tu, hela bwna inapatikana kwa hela mwenzake.
Kama hauna 1000 huwezi kupata 500.
Ili upate hela inabidi uwe na hela ama kitu kinachoweza kulingana na hela.

Kama unatafuta milioni na mazingira ni magumu, tafuta kwanza10000 then hio ikuletee milion

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ninayopata, kuikusanya mpaka ikafike milion itachukua mudaa.
Asante kwa ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini mmeamshwa vyema wakuu.

Niende kwenye mada, nina shida sana na Tsh. Milioni moja, naihitaji kwa ajili ya mtaji, (kuna jiko la kupikia chakula sehemu ya bar nataka kulichukua niweke vijana wapike) nikisema kukopa sina cha kuweka dhamana, ukisema uombe kwa ndugu hamna kila mtu anasema hana.

Nikiwaza maisha ndo hivo yanaenda kasi bila kuwekeza wekeza hufanikiwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee una lips nzr!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unashida na hiyo millioni ni pm ila kweli uwe ni ke na pili shida kweli iwe ni million 1 sio zaidi ya hapo njoo na business plan yako chonde chonde kama ni mke wa mtu hapana siitaji

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo wala sio kupata hio 1 m tatizo ni je una uhakika hio 1m itazaa au itaishia kwenye kukodi hilo jiko kuwalipa vijana ujira wao, kununua matumizi ya siku chache na kuishiwa kuibiwa na hao vijana wako wa kazi...

Watanzania sio waaminifu kabisa bila kuwepo na kukaba mpaka penalty utaambulia kutoa matumizi na kulipa mishahara kutoka kwenye mshahara wako wa kazi nyingine na kutokuona hata chembe ya faida...
 
Back
Top Bottom